Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wenge !
Unataka kusema nnhayo matundu ya risasi hapo kwenye kioo..hayapo usawa wa tumbo wala miguu
Kuna mtu mmoja aliwahi sema kwenye mtandao waliomdhuru ben saa nane watapukutika mmoja baada ya mwingine labda ndo wanaanza kupukutika
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wenge !
eti braza..wataalamu wa forensic na forensic zao walisaidia nini pale Ulimboka alivyoshangiliwa....Tatizo lissu ana akili katika taifa la mambumbumbu....atapotea na hakuna kitakachotokeaMy take,
Wataalamu wa forensics wazipime hizo bullets zilizo kutwa kwa mwili wa lisu na zilizokutwa kwa gari na ndio mtajua siraha iliyo tumika na mmiliki kama record za siraha ziko sahihi.
One of the very terrified mistake attempted kwa walio tumwa hii yaweza leta machafuko ndani ya nchi wakifanya mizaha kama hiyo.
Na kulichafua Taifa letu katika msingi tulio uzoea wa Amani sasa nchi itakuwa na sintofahamu ya freedom of speech tuna rudi kwenye ukoloni maomboleo.