DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Wapi waliposema wameshtaki kwa wazungu,kama kushtaki kwa wazungu wanadhani kutawasaidia basi watakula wa chuya ,wamuulize Maalim
 
Mkuu kweli nimeamini kuwa taarifa hii umeipokea kwa masikitiko makubwa hadi mida hii unaaga usiku mwema? Get well Lissu

Mkuu siyo wote wako Bongo, kuna ambao wako nchi ambazo saa hizi ni usiku.
 
Daah, Yaani hivihivi tu yanamkuta kiungo mshambuliaji. Roho inauma sanaaaaa
Eee Yesu Umsaidie.
 
Na huko hospitali tuombe maana amri inaweza kushuka kutoka mbinguni azime
 
Kama kuna siku ambayo nimeiogopa siasa ya Tanzania ni leo. R. I. P Mawazo
 
Hivi huwa namwona kila wakati anaombewa. Ina maana haya ayatendayo ndio majibu ya kuombewa? Na hao wanaomwombea humwombea kwa Mungu yupi? Siamini kama ni huyu Mungu anayetuhimiza tumpende jirani kama tunavyojipenda wenyewe na pia Mungu nimjuaye anasema mtendee mwenzako vile unavyopenda kutendewa.
 
inafika kipindi nauchukia huu utawala kuliko kitu chochote kile. kuna siku Mungu mwenyewe atashuka kuiokoa hii nchi. nafikiri mkapa, mwinyi na kikwete wanatakiwa kuingilia kati kuiongoza hii nchi kwasababu sijui hata inakoelekea. kweli maisha ya aina hii ndo mtu afikirie watu tutakuwa wazalendo? watu wanaharibu nchi, wanaharibu umoja wa kitaifa, wajinga kabisa.
 
Nimeumia sana...
in short im speechless
nakumbuka watu waliotangulia kwaajili ya kuipigania nchi yetu kama Stan katabalo na "Loliondo gate"
 
Kama ni propaganda itakuwa imefanikiwa kwa kiwango cha juu! kama ni kweli pole sana Mh. Tundu Lisu wananchi wako, chama chako familia yako na taifa lako bado linakuhitaji.
 
UPDATE: Katibu wa Bunge amethibitisha kufika kwa ndege Dodoma kumchukua @TunduLissu kumpeleka hospitali ya Muhimbili ili kuokoa maisha yake.
Huko akienda hali itakuwa tete sana! Chadema wachukue helicopter wampeleke Nairobi. Sina imani na hospitali za serikali.
 
Back
Top Bottom