Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huwa mnafanyeje?I su
I concur with you. Lisu na Chadema wametengeneza hii kitu.....
usalama hawawezi kuuwa kijinga hivyo....
Sawasawa lkn hata wakimuua haitawasaidia kujitakasa. Of course the motive is open but this will not help themkatika awamu hii tutashuhudia mengi ambayo awamu zote hayakuwahi kutokea
Ina maana yeye atakaukia hapa duniani Bila kuonja mauti?Mtu wakwanza mshukiwa ni Samweli Mathayo huyu jamaa maranyingi kaleta thred za kutaka Lisu auawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna new member sana humu sikuhizi..! Mbona Turkish awash this kitambo?maandiko mengine umu unayaona kabisa niya propaganda za kiusalama wa Taifa.
Yaani hapa ngoja tuone aisee haiwezekani.....Nipo tayali kufa kuanzia sasa kwahili
Haya ni maneno ya hekima sana. Ni watu waliopevuka kiakili tu watakaoweza kuona busara na hekima iliyoko ndani ya maneno haya.[emoji107] [emoji107] [emoji107]
"The greatness of any nation lies in its fidelity to the constitution and strict adherence to the rule of law and above all respect to God" - CJ David Maraga
Nimehesabu matundu ya risasi yapo karibia 18.
Binadamu mara zote hudhuliwa na wabaya wake!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!just because alikuwa anaipinga serikali haimaanishi ni serikali ndiyo imefanya huo upuuzi....tusitoe conclusion kirahisi namna hiyo kwa ishu sensitive kama hii
Ahsante sana mkuu
Wewe huwa unamwomba mungu yupi au kwa mungu wa wale wanaokula hela za maafa na rambirambi?Hivi huwa namwona kila wakati anaombewa. Ina maana haya ayatendayo ndio majibu ya kuombewa? Na hao wanaomwombea humwombea kwa Mungu yupi? Siamini kama ni huyu Mungu anayetuhimiza tumpende jirani kama tunavyojipenda wenyewe na pia Mungu nimjuaye anasema mtendee mwenzako vile unavyopenda kutendewa.