Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafuasi wa ccm hamtofautiani na viongozi wenu kwa roho za kikatili..weka uthibitisho hapa kuwa kaliibia taifaSubiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Tatizo wahusika hawajulikani. Utakuta huyo unayemlaani sasa ndo unamuombea mazuri kila siku.Walaaniwe wote waliohusika kupanga na kutekeleza unyama huo, in Jesus name. Ameeen.
Huko akienda hali itakuwa tete sana! Chadema wachukue helicopter wampeleke Nairobi. Sina imani na hospitali za serikali.
Mwanzo mzuri!T460CQV toyota premio: TRA central vehicle registry tupe jina la mmiliki haraka tuna kazi naye kama mumiani hawataki kumkamata!
Yawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......
"Naomba kabla sijaanza Mazungumzo yangu nimuombe Mkuu wa idara ya Usalama wa Taifa anaitwa Kipilimba au Inspekta Generali wa Polisi Simon Sirro, wale vijana ambao wamewatuma na kwa wiki tatu mfululizo wananifuata kila nilipo wanaotembea na gari ya Toyota premio namba T460CQV, jana niliwakaba Kanisani St. Peter's.
wewe hapo
Hizp namba ni za gari ya hao walipiga risasi au sijaelewa?Mwanzo mzuri!