DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Naombeni huko makanisani akija mtimueni huyo pepo....lazima j2 ataenda tu
 
Polmo: Kama wewe ni binadamu utakuja yajutia haya uyasemayo siku moja. kama si hapa duniani basi mbele ya MUNGU. Ushetani wa namna hii haujawahi kumwacha mfanyaji salama. Kibaya alichokufanyia Lissu ni kipi?
 
Hizi ni akili za kipumbavu kumuua mtu kwa chuki za kipumbavu.
Mwenyezi Mungu tunakuomba umjalie uzima ndugu yetu Antipas Mughwai.
 
Uchunguzi ufanywe kwa umakini mkubwa ili kuwabaini hawa watu wasiojulikana wenye kutenda haya matendo ya kinyama na ya hovyo kiasi hiki ili tu kuichafua serikali na mh rais na serikali yake.
Are you serious? eti watu wasiojulikana....msitufanye waTz wote kuwa ni wajinga. Yatawarudi haya siku moja
 
Kwa hiyo ndio maana mnataka kumuua? Hivi wee jamaa umeandika ukiwa na akili timamu au bangi? Na kila baya ulilomuwazia Lissu namwomba Mungu likurudie...

Mungu ndio alituumba na yeye ndie atakaekuwa na mamlaka ya kutuchukua na sio kwa nguvu za binadamu

Shame on you....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekua ukiomba hivi inakua ungejiombea wewe kwanza kuamini mtu kama Mungu
 
Tundu Lissu ni attorney general wa CHADEMA au ni chief counsel wa CHADEMA?
 
Tupac naye alipigwa risasi akiwa passenger kwenye black BMW siku ya 7 Septemba 1996. Sala zetu ziende kwa Mheshimiwa Lissu apone haraka na familia yake ipate faraja. This is bad, regardless of cause.
 
Watanzania muache kuhusianisha hili swala na siasa mnataka kutuaminisha watz kuwa serikali ya madarakani imefanya hivyo maana naona comments zenu humu sio vizuri aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama ni hivyo kwa nini pia wasijiulize kuhusu mtifuano wa kugombea urais kwa chama chao kama haiwezi kuwa sababu? Kumbuka Chacha Wangwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
438bb139c4bda95e8be13d25cc9d0bf4.jpg

Isije ikawa diverted kama ya chacha
 
This is sad; hope he recovers fully. Vyombo vya usalama vina wajibu wa kutoa taarifa mapema ya uchunguzi wao vinginevyo watu wana haki ya kufikiria nadharia zao hasa kutokana na nafasi ya Lissu katika upinzani na jinsi ambavyo ameonekana kuwa mkosoaji mkuu wa serikali.
 
Sijawahi kufurahia hata kifo cha mbwa. Siku moja nikiwa naendesha Gari niligonga mbwa kwa bahati mbaya, siku 3 sikugusa Gari.

ACHA nikae KIMYA...!
pole ndugu. the same to me! huwa naheshimu uhai wa viumbe wengine. hapo zamani nilikuwa na brother yangu na yeye ndo alikuwa anaendesha gari. tukakutana na ka mbwa kadogo (puppy) kanajitafutia ridhiki pembeni ya barabara...bahati mbaya akakagonga kwa makusudu. yaani nilimgombeza kama mtoto mdogo! sikuwahi kumkosea heshima, lakini siku hiyo alijua kwamba nimekeleka...
 
Back
Top Bottom