HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Naombeni huko makanisani akija mtimueni huyo pepo....lazima j2 ataenda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you serious? eti watu wasiojulikana....msitufanye waTz wote kuwa ni wajinga. Yatawarudi haya siku mojaUchunguzi ufanywe kwa umakini mkubwa ili kuwabaini hawa watu wasiojulikana wenye kutenda haya matendo ya kinyama na ya hovyo kiasi hiki ili tu kuichafua serikali na mh rais na serikali yake.
Ingekua ukiomba hivi inakua ungejiombea wewe kwanza kuamini mtu kama MunguKwa hiyo ndio maana mnataka kumuua? Hivi wee jamaa umeandika ukiwa na akili timamu au bangi? Na kila baya ulilomuwazia Lissu namwomba Mungu likurudie...
Mungu ndio alituumba na yeye ndie atakaekuwa na mamlaka ya kutuchukua na sio kwa nguvu za binadamu
Shame on you....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kama ni hivyo kwa nini pia wasijiulize kuhusu mtifuano wa kugombea urais kwa chama chao kama haiwezi kuwa sababu? Kumbuka Chacha Wangwe.Watanzania muache kuhusianisha hili swala na siasa mnataka kutuaminisha watz kuwa serikali ya madarakani imefanya hivyo maana naona comments zenu humu sio vizuri aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
We nawe usitufanye wote tuna akili ka zanu....serikali ni nani na watu ni kina nani...Kile chama cha Ufipa kichunguzwe katika hili. Wanataka kuigombanisha serikali na wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
pole ndugu. the same to me! huwa naheshimu uhai wa viumbe wengine. hapo zamani nilikuwa na brother yangu na yeye ndo alikuwa anaendesha gari. tukakutana na ka mbwa kadogo (puppy) kanajitafutia ridhiki pembeni ya barabara...bahati mbaya akakagonga kwa makusudu. yaani nilimgombeza kama mtoto mdogo! sikuwahi kumkosea heshima, lakini siku hiyo alijua kwamba nimekeleka...Sijawahi kufurahia hata kifo cha mbwa. Siku moja nikiwa naendesha Gari niligonga mbwa kwa bahati mbaya, siku 3 sikugusa Gari.
ACHA nikae KIMYA...!
kama zililenga mwili basi zilifika shingoni,kifuani,kichwani..wacha watu wapoe kwanza halafu ndo ije habari isiyopendwa na wengi humuUnataka kusema nn
Umejisajili leo kuleta upuuzi humu. Mtawauua WaTz wote mridhikeMini kinachokupa sababu ya kusema hivi.
Manama sababu ya shambulio inaweza kuwa tofauti.
Tusubiri matamko rasmi kutoka vyombo vya Dola.
Sent using Jamii Forums mobile app