Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Naomba hizi taarifa za Kifo nilizozisikia sasa hivi zisiwe za kweli....sitaki hata kuandika. MUNGU Baba naomba tenda muujiza wako leo hii tukakuone.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka akiba ya maneno mkuu..Tumepata raisi wa ajabu ajabu kuwahi kutokea duniani
Kumbuka Lisu ni binadamu kama wewe, kumbuka ana haki ya kuishi kama wewe. Kumbuka leo kwake kesho kwako, hatutaishi milele.Kwa nini huyo jamaa hakulenga vizuri?
AmenNaomba hizi taarifa za Kifo nilizozisikia sasa hivi zisiwe za kweli....sitaki hata kuandika. MUNGU Baba naomba tenda muujiza wako leo hii tukakuone.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Kwa nini huyo jamaa hakulenga vizuri?
Mhmm baada ya tukio hili ndo umetambua ushujaa wake, leo siyo dalali wa wazungu,kichaa,mropokaji........?Bad News get well soon Tundu Lissu a true hero Of our country
taarifa gani tena mkuu??Naomba hizi taarifa za Kifo nilizozisikia sasa hivi zisiwe za kweli....sitaki hata kuandika. MUNGU Baba naomba tenda muujiza wako leo hii tukakuone.
Kuna vitu katika maisha utavikataa na kuviona vibaya, lkn huwezi kushi bila uwepo wake. Polisi ni moja ya taasisi hizo. Utaipenda tu, siku ikikusaidia moja kwa moja. Maana kazi nzuri huioni kwa sasa kwa kuwa inatusaidia wengi, tunachukulia poamkuu sitaki hata kusikia na kuona neno polisi
mungu niondolee hasira zangu
Huyu atafutwe haraka sana!Msomeni huyo, muelewe kilichoandikwa then muunganishe nukta.