DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Naomba hizi taarifa za Kifo nilizozisikia sasa hivi zisiwe za kweli....sitaki hata kuandika. MUNGU Baba naomba tenda muujiza wako leo hii tukakuone.
 
Msomeni huyo, muelewe kilichoandikwa then muunganishe nukta.
 

Attachments

  • 21462956_172546869979135_7226461286943478681_n.jpg
    21462956_172546869979135_7226461286943478681_n.jpg
    43.4 KB · Views: 30
Duuh,mipango iliyopangwa gizani,imeshindikanika.Mungu linda uhai wake,in Jesus name
 
Nimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti

WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL


Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA


JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana

Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe


Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa

Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k



Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma

Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k



So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu

Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa


Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa



But Leo wanamkumbuka


SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON
 
mkuu sitaki hata kusikia na kuona neno polisi



mungu niondolee hasira zangu
Kuna vitu katika maisha utavikataa na kuviona vibaya, lkn huwezi kushi bila uwepo wake. Polisi ni moja ya taasisi hizo. Utaipenda tu, siku ikikusaidia moja kwa moja. Maana kazi nzuri huioni kwa sasa kwa kuwa inatusaidia wengi, tunachukulia poa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom