mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,173
- 3,443
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kweli nimeamini kuwa taarifa hii umeipokea kwa masikitiko makubwa hadi mida hii unaaga usiku mwema? Get well LissuSir GOD anatuangalia tu wanadamu tunavyotesana...ila na yeye uvumulivu humuishaga kipindi fulani.
Tusimfikishe kwenye hicho kipindi.
Jamani usiku mwema.
Sasa kiki gani mtu ana hali mbaya mnyamazage tu saa nyingineTukisikia imemchubua basi tutajua ni KIKI,
It is early to point a finger to some one, let's be patientHii nnchi watu hawataki kukosolewa no freedom of speech anyway mungu akutangulie kamanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapema mno hii siasa ni mchezo mchafuNafikiri kwa hili uvumilivu sasa basi tutaanza kupigana risasi muda si mrefu
Waliompiga risasi lisu ni ccm na serikali ya magufuli
[emoji107] [emoji107] [emoji107]Kile chama cha Ufipa kichunguzwe katika hili. Wanataka kuigombanisha serikali na wananchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Very bad news, Tunamuombea kwa Mungu apate kuponaOur fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
Kweli mkuu naona tunataka kuwapoteza wanaotupa changamoto tunataka kuongoza vibogoyo LISSU NA KIBATALA yafaa Taifa lijivunie ajabu wanatengwa wakat wanawapa changamoto wanasheria wa serikali.
Nani huyoYani àkifa lissu akifa lissu akifa lissu yupo MTU naye atakufa tu.
Me nawaambia hakika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo tayali kufa kuanzia sasa kwahiliccm wahakikishe LISU hafi ndo tutaelewana kidogo...............
Kwa hiyo ndio maana mnataka kumuua? Hivi wee jamaa umeandika ukiwa na akili timamu au bangi? Na kila baya ulilomuwazia Lissu namwomba Mungu likurudie...Hakuna shida kwakua wanamuita nabii hata akifa atafufuka na atapaa ataendelea kuwasaidia maana nashangaa tangu lini mbunge akaongoza nchi nzima
Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!
![]()
![]()
![]()
Updates to follow
=======
UPDATES;
=======
TAARIFA YA AWALI KUHUSU SHAMBULIO LA KUPIGWA RISASI MHE. TUNDU LISSU
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kupigwa risasi Mwanasheria Mkuu wa Chama ambaye pia ni Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Tundu Antipus Lissu baada ya kikao cha Bunge mchana wa leo.
Shambulio hilo limetokea majira ya mchana nyumbani kwake Area D Dodoma na kujeruhiwa vibaya na kukimbizwa katika Hosiptali ya Mkoa wa Dodoma.
CHADEMA tunalaani vikali kitendo hicho, na tunafuatilia kwa karibu hali yake.
Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Imetolewa na Kurugenzi ya Uenezi, Mawasiliano na Mahusiano ya Nje.
CHADEMA MAKAO MAKUU
DAR ES SALAAM.
=====
Preliminary Press Statement on the incidence of Hon. Tundu Lissu being shot
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) has received with great shock the report on the shooting of the Attorney General of the Party who is also the Chief Whip of the Official Opposition in Parliament and MP of Singida East, Hon. Tundu Antipus Lissu just after a Parliamentary session today.
The attack took place at his Dodoma residence at midday and was seriously wounded and had been rushed to the Dodoma Regional Hospital.
CHADEMA strongly condemns this act, and we are following up closely on his condition.
We will continue to update as we get more information.
Issued by the Directorate of Ideology, Publicity, Communications and Foreign Relations.