DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

AMINA MUNGU WANGU.

ACHA nikae KIMYA...!
 

Aisee jamaa waliamua kumuua hapohapo sema tu shani ya Mungu.Risasi zaidi ya 20,walitumia machine gun mafirauni haya. Hii nchi tunapoelekea anajua Mungu mwenyewe...
 
Moderators tunaomba siku ya leo BAN isiwepo watu tuna uchungu na mapovu ya kutosha na matusi juu ,tuachieni uhuru tafadhali
Hope wamekusikia japo sina uhakika kama wamekuelewa

Sent from my TV
 
TL apone haraka arudi kwenye afya yake! ila uliyoyajaza humo kwenye comment yanatia wasiwasi kama kweli upo sawasawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBUNGE WA SINGIDA MASHARIKI AMBAE PIA NI MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA MR TUNDU LISSU AMEPIGWA RISASI AKIWA MJINI DODOMA.

 
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
His blood will irrigate our victory.

Mungu mbariki Lisu
Mungu ibariki CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…