mboperatransy
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 314
- 1,274
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ripoti ya mauaji imetekwa na muuaji. What next.. CDM wamuwekee ulinzi wa Kimataifa. Sio wa nchi hiiMara hii umeshafanya uchunguzi?
AMINA MUNGU WANGU.Mungu Baba wa mbinguni, pengine naweza kuwa sistahili mbele zako kuleta maombi haya kwako kutokana na mapungufu yangu, lakini katika hili Baba Mungu nakuomba usiyatizame mapungufu yangu bali ukusikie kuomba kwangu.
Mungu mwenye enzi Mungu mkuu, Tia mkono wako juu ya kiumbe wako huyu Tundu Lissu kama ulivyomuinua mwanao baada ya shetani kushindwa, Mungu baba wafanye mashetani haya yashindwe vile vile kama yalivyoshindwa kwa mwanao mpendwa Yesu Kristu.
Tundu Lissu amekuwa akiifanya kazi yako kwa kuwakemea mafalisayo na wakuu wa sheria bila woga kama alivyofanya mwanao mpendwa, Baba usiruhusu washinde bali uwaoneshe kwamba huyu anaifanya kazi inayokupendeza wewe na kwamba saa yake haijafika ya kumuondoa kwenye kazi yake uliyompa kwa ajili yetu.
Mpe uzima mpe uponyaji wako ili wapate kujua kuwa shetani hana mamlaka juu ya kiumbe wako hata kama wamemmiminia risasi zaidi ya ishirini, umemkinga Baba kwa muujiza wako maana bila hivyo hata hospitali asingefika akiwa hai kama walivyodhamiri hao shetani.
Nakutumaini Mungu maana hujawahi kuniangusha, nisikie na katika hili wapate kutambua kwamba shetani atendaye kinyume na kazi zako daima hatofanikiwa.
Ahsante Mungu Baba kwakuwa umenisikia na umenipa kibali kuyaomba haya kwako. Ni katika njia ya Yesu Kristu ninakushukuru.
Aamina.
Tutajuta kupigia kura lusipher, labda huko kanisani anakosema wamuombee anamaanisha vinginevyo, kuongozwa na sheitwaani ni laanaMtujuze kama ni polisi au watu wasiojulikana wamefanya mambo
hujasema walaaniwe na nani?Walaniwe hawa mashetani wao na vizazi vyao vyote.
Hope wamekusikia japo sina uhakika kama wamekuelewaModerators tunaomba siku ya leo BAN isiwepo watu tuna uchungu na mapovu ya kutosha na matusi juu ,tuachieni uhuru tafadhali
Amen!mungu bado anamkataba na Lissu atatoka hospital mzima!! Kwa Jina la YESU
TL apone haraka arudi kwenye afya yake! ila uliyoyajaza humo kwenye comment yanatia wasiwasi kama kweli upo sawasawaMungu Baba wa mbinguni, pengine naweza kuwa sistahili mbele zako kuleta maombi haya kwako kutokana na mapungufu yangu, lakini katika hili Baba Mungu nakuomba usiyatizame mapungufu yangu bali ukusikie kuomba kwangu.
Mungu mwenye enzi Mungu mkuu, Tia mkono wako juu ya kiumbe wako huyu Tundu Lissu kama ulivyomuinua mwanao baada ya shetani kushindwa, Mungu baba wafanye mashetani haya yashindwe vile vile kama yalivyoshindwa kwa mwanao mpendwa Yesu Kristu.
Tundu Lissu amekuwa akiifanya kazi yako kwa kuwakemea mafalisayo na wakuu wa sheria bila woga kama alivyofanya mwanao mpendwa, Baba usiruhusu washinde bali uwaoneshe kwamba huyu anaifanya kazi inayokupendeza wewe na kwamba saa yake haijafika ya kumuondoa kwenye kazi yake uliyompa kwa ajili yetu.
Mpe uzima mpe uponyaji wako ili wapate kujua kuwa shetani hana mamlaka juu ya kiumbe wako hata kama wamemmiminia risasi zaidi ya ishirini, umemkinga Baba kwa muujiza wako maana bila hivyo hata hospitali asingefika akiwa hai kama walivyodhamiri hao shetani.
Nakutumaini Mungu maana hujawahi kuniangusha, nisikie na katika hili wapate kutambua kwamba shetani atendaye kinyume na kazi zako daima hatofanikiwa.
Ahsante Mungu Baba kwakuwa umenisikia na umenipa kibali kuyaomba haya kwako. Ni katika njia ya Yesu Kristu ninakushukuru.
Aamina.
AminaMungu Baba wa mbinguni, pengine naweza kuwa sistahili mbele zako kuleta maombi haya kwako kutokana na mapungufu yangu, lakini katika hili Baba Mungu nakuomba usiyatizame mapungufu yangu bali ukusikie kuomba kwangu.