ooooh! hallelujah!!
Yehova Yire, Yehova Sharma, Yehova Nissi....heshima, mamlaka, utukufu, enzi, ukuu, utiisho - vyote ni vyako!
Kuna watu wanataka kumtoa Magufuli kwenye Urais ndani ya CCM, sasa wanapanga mipango ovu ili kumkosanisha na umma.Muda utaongea.
Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.
Viva Roma... Zimbabwe. Maneno ya Mkatoliki yameishi.SAFI, APELEKWE KWA WASHUA, KUOKOA MAISHA YAKE.
KWA AINA HII YA KUVIZIANA KUTAKA KUUANA BILA SABABU ZINAZOELEWEKA ITATUCHUKUA MIAKA 500 KUFIKIA MAENDELEO YA MAJIRANI ZETU WA KENYA
Kuna wakati ndio maana mnaambiwa mnapinga kila kitu. Sasa mtu akichukulia kiubinadamu kuungana unamuita mnafki akikazania kile anachokiamini unasema hana ubinadamu ni nini sasa!! Embu siasa hizi tusizipe kipaumbele tufanye pale zinapohitajika tuu.Leo hii umeanza kumuita a true hero wakati siku zote huwa unamuita mropokaji? Huu unafiki sio wa nchi hii.
Kwa mengine nimekuelewa.. hapo juu nakuuliza, je kuna siku serikali imeshafanyia kazi mapendekezo ya wapinzani iwe bungeni au hata kwa majukwaa mengine? ingekuwa mchango wa Lissu unahitaka kwa serikali, kwanini wasingemweka kwenye kamati ya majadiliano na Barrick?Well ,, zilisainiwa nawatangulizi wake ambaye yeye kaona ni nimakosa ,, kaamua kusimamisha ndio tuwe namazungumzo ili tujue muafaka ...sio kutafuta mwafaka alafu same time tukiendelea kupigwa.
Wewe unaona nisahihi kufanya mazungumzo wakati huo Mali zetu zikiibwa ?¿?¿????
Nilitwgemea tundu lissu kuijua sheria angekua tegemeo letu km taifa atusaidie kuweza kujinyumbua shidi ya HII mikataba sasa naye ndo anaendelea kutumaliza.