DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kabisa Mkuu kauli zake huyu zilizojaa chuki za kutisha dhidi ya wapinzani na sasa kuanza kuigwa na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya ni hatari sana kwa mshikamano wa Taifa. Akemee mara moja hizi chuki anazoeneza nchini kwa kasi ya kutisha.

Kama public figure aina ya lissu,anashambuliwa kwa risasi hadharani,vipi kuhusu sisi? Hii dhima inamuangukia Amiri jeshi mkuu kwa kutengeneza mazingira ya uadui.
 
Ukute Walitaka kumuua ili asihudhurie Mkutano uko Marekani....Endeleeni kumuombea mie bora nimuombee Bata
 
Sasa risai zoooote hizo zilivyominwa na lisilaa likubwa kabisa la kivita, tena hadharani kwenye mtaa wanaoishi watu, mchana kweupeeee, hiyo si ni EXECUTION????
Inasomeka hivi: 'Tuoneni, tunaweza kufanya lolote lile na hatuogopi maana uwanja ni wetu!'
 
Leo hii umeanza kumuita a true hero wakati siku zote huwa unamuita mropokaji? Huu unafiki sio wa nchi hii.
Kuna wakati ndio maana mnaambiwa mnapinga kila kitu. Sasa mtu akichukulia kiubinadamu kuungana unamuita mnafki akikazania kile anachokiamini unasema hana ubinadamu ni nini sasa!! Embu siasa hizi tusizipe kipaumbele tufanye pale zinapohitajika tuu.
 
Maaskofu acheni unafiki Mungu anawaona, jitu lililojaa visasi liuaji linakuja kwenye makanisa yenu linainamisha kichwa eti mnaliombea. Kuweni wakweli aimamieni haki na kweli ya Mungu ona sasa wanyonge wanachotendewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well ,, zilisainiwa nawatangulizi wake ambaye yeye kaona ni nimakosa ,, kaamua kusimamisha ndio tuwe namazungumzo ili tujue muafaka ...sio kutafuta mwafaka alafu same time tukiendelea kupigwa.

Wewe unaona nisahihi kufanya mazungumzo wakati huo Mali zetu zikiibwa ?¿?¿????

Nilitwgemea tundu lissu kuijua sheria angekua tegemeo letu km taifa atusaidie kuweza kujinyumbua shidi ya HII mikataba sasa naye ndo anaendelea kutumaliza.
Kwa mengine nimekuelewa.. hapo juu nakuuliza, je kuna siku serikali imeshafanyia kazi mapendekezo ya wapinzani iwe bungeni au hata kwa majukwaa mengine? ingekuwa mchango wa Lissu unahitaka kwa serikali, kwanini wasingemweka kwenye kamati ya majadiliano na Barrick?

Wakati tumwombee Lissu Mungu ampe uponyaji wa haraka
 
Back
Top Bottom