Ili uhakikishee kamaa zile risasi zimempataa kwelii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](jocking)Picha? Yuko hai kweli?
Ni kweli hata yeye anajua malipo ni hapa hapa duniani, amewaona maboya aliokuwa anawachukulia chaoMalipo ni hapa hapa duniani.
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
unamaanisha hata mbowe bungeni hafai?Tunakuombea sana Mh Lissu uko ulipo na upone haraka sana,Kukosekana kwako Bungeni ni sawa Meli bila Capt,Sasa Watanzania ndo watajua umuhimu wako na Mambo usemayo kila pakicha.Wakati wa Matatizo wote tunaungana kuombea mambo yarudi swa.Mimi naombea sana upone haraka sana urudi kazini.
Ha ha ha, umekaa kiumbea umbea tu. Una ushahidi wowote?Wewe na anayewapa kichwa asiyependa kukosolewa.
Nairobi mgomo wa madaktari uliisha?Tundu Lissu amepelekwa Nairobi huku akitoka chumba cha upasuaji mjini Dodoma akiwa ana fahamu!
Yaani, mbona tulikuwa tunaishi vizuri tu miaka yote bila ya bombardia?Asanteni CCM Yaani Issue Ya Bombardier Ndio Iondoe Uhai Wa Mtu
Magonjwa Mtambuka huko ameenda kama raia tu na si kama kiongozSasa si wapinzani wanalalamika viongozi kutibiwa nje ya nchi. Imekuweje tena?
Comments kama zako na wenzio hazina maana kabisa..wewe kwa uelewa wako mdogo unaona anapinga kila kitu weka ushabiki pembeni fikiria kiume ww ndio uandike..mapoliccm banaMkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????
N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.