DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Tunakuombea sana Mh Lissu uko ulipo na upone haraka sana,Kukosekana kwako Bungeni ni sawa Meli bila Capt,Sasa Watanzania ndo watajua umuhimu wako na Mambo usemayo kila pakicha.Wakati wa Matatizo wote tunaungana kuombea mambo yarudi swa.Mimi naombea sana upone haraka sana urudi kazini.
unamaanisha hata mbowe bungeni hafai?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo wangu unasimanzi! Get well soon Hon Tundu Lissu, God I pray may add u more years of living for u to see the beauty of Tzn in four elections to come. Aliyefanya kitendo hiki asikie asikie Tundu Lissu anaishi...hajafa!
 
Tafadhal hebu leta update za sasa maana kuna glob moja naona imeleta breaking newz mbaya.
 
Mwenye macho haambiwi tazama.....na mwenye masikio haambiwi asikilize
 
Mkuu nilazima tujifute matope ya unafiki ktk nyuso zetu.....Tundu lissu ivi anatetea taifa au nayeye anatumika kuliumiza taifa ??? Sindo huyu aliomba tuwekewe vikwazo mpaka zito naye aka mkrash ??????


N.b sishabikii tukio lilompata lissu et sababu ni mpinzani wakila kitu chaserikali... Maana nje yasiasa naye anatwgemewa namkewe.,watoto nandugu.
Comments kama zako na wenzio hazina maana kabisa..wewe kwa uelewa wako mdogo unaona anapinga kila kitu weka ushabiki pembeni fikiria kiume ww ndio uandike..mapoliccm bana
 
Back
Top Bottom