DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Failed assassination attempt,We shall overcome,you cannot silence him.Let this be a chilling reminder to you.
 
Reactions: SDG
...wameona kwenye kioo risasi hazipenyi wakapiga kwa chini majasusi hawa....waliowatuma Watashindwa na watatangulia wao...huyu Lissu anaombewa na wanyinge wote wa taifa hili.... Atavuka tu.....inauma Sanaa......maana wanaofanya haya mambo wanajulikana....wameanza kwa kutishia silaha watu hadharani wakaachwa...sasa wanataka kuua kabisa mchana kweupe...tukio hili litazidi kuwaamsha wwatanzania dhidi ya utawala huu dhalimu...
 
Ninawatakia safari njema huyu jizi asije akalitungua tena helikopta.Mungu amponye mtumishi wake
 
Inasikitisha sana. Mungu msaidie mtetezi wetu wa wanyonge wa watanzania. Inauma sana.
 
Wandugu nimeshitushwa Sana na hii habari ya lisu kunusulika na lisasi.... W

Kuthubutu kumua lisu ni kuizima tochi inayoimulika Tanzania hivi sasa... No wakifanikiwa kufanya hivo amini na waambieni Tanzania tutakuwa tumeingizwa gizani mchana na usiku...

My take: hili swala lisiachiwe kuwa la chadema wala mbowe na lisu tu.. Kuna haja ya watanzania wote kwa pamoja kuungana bila ya kujalisha itikadi za kisiasa wala dini kukemea huu uovu ukome mara moja....

Tanzania ni yetu wote weka bunduki chini tubishane kwa hoja.... In Roma voice





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Tunafuatilia kwa karibu kumuombea kamanda apate nafuu tunamuhitaji kwenye siasa kwa kipindi hiki
 
Mungu ni mwema.....

Atayanusuru maisha ya Shujaa wetu wa Taifa letu kwa sasa............
 
Reactions: BAK
Arud bungeni kwa rivas au kwa kufanyaje kwa mfano?Lissu alishasema kuwa anafatiliwa nadhan video ipo HUMU.DEREVA amejitahid alivyoweza

May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…