samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
Pole Lisu, nakuhakikishia hutapotea hivi hivi na kirahisi,. Mungu tunaemwamini atakuponya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninawatakia safari njema huyu jizi asije akalitungua tena helikopta.Mungu amponye mtumishi wakeMwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Bata wwMahakama msimwachie huyo eti kwa sababu mgonjwa. Siku ya kesi yake ni lazima aitwe tu, kama Manji na Seth.
Mnataka mumalizie kabisa, tumewastukiaYaani Inamaana tanzania hakuna hospital ya kutibu majeraha ya risasi
Msen....ww inawezekana unahusikaCHEZEA MWENYEKITI WEWE YA CHACHA WANGWE YANATAKA KUJIRUDIA
Arud bungeni kwa rivas au kwa kufanyaje kwa mfano?Lissu alishasema kuwa anafatiliwa nadhan video ipo HUMU.DEREVA amejitahid alivyowezaHata mimi haya maelezo yamenichanganya sana. Kwa kweli dereva atueleze vizuri, kwa nini aliamua kuingia nyumbani hata baada ya kugundua kuna gari linawafuatilia? Kwa nini hakurudi bungeni baada ya kugundua hilo? Na hao wauaji walipata wapi confidence ya kulifuata gari nyuma mpaka nyumbani wakati wakijua dereva angewashtukia?