DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

I really love Lissu, I love his integrity, lakini nilishangazwa sana na anavyoponda jitihada za kuwazuia waizi wanaotuibia madini.. Hata kama serikali ilikuwa inakosea njia waliyokuwa wanaitumia, he is a Tanzanian, hakuna ulazima wa yeye kuside na wezi wetu..

I'm really sad for Lissu, lakini pia ajue chama alichopo si cha upinzani.. I wish I could speak the truth lakini siwezi, CDM si chama cha Upinzani. Let me end there...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondolee ufisadi wako hapa.

Sherekeheni hili.
 
Kuna jirani anataka kuleta machafuko wachote madini kama Congo...makamanda eee wameanzaaaa
 
Our fellow MP for
Singida East Tundu
Lissu has been shot by
unknown people. He
has been rushed to
dodoma general
hospital~~~Zitto Kabwe
Zitto ni msemaji wa chadema/Ukawa? CCM?Na wengine.Siku zote huwa anawawahi.
 
Pole sana wakili msomi TL..Mungu akutangulie uweze pona haraka urudi kutupigania wana singida .......
Aisee hapo hospital usalama wake uko vp....aisije akaingia baazazi akammalizia...viongozi wa upinzani mjitahidi kuwa makini mana hali sio muzuri kipindi hiki wekeni hata walinzi ,cctv camera huko majumbani kwenu...na hata kwenye magari yenu...
 
I really love Lissu, I love his integrity, lakini nilishangazwa sana na anavyoponda jitihada za kuwazuia waizi wanaotuibia madini.. Hata kama serikali ilikuwa inakosea njia waliyokuwa wanaitumia, he is a Tanzanian, hakuna ulazima wa yeye kuside na wezi wetu..

I'm really sad for Lissu, lakini pia ajue chama alichopo si cha upinzani.. I wish I could speak the truth lakini siwezi, CDM si chama cha Upinzani. Let me end there...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuondolee ufisadi wako hapa.

Sherekeheni hili.
 
HAMA KWELI HARAKATI ZA KUPATA NAFASI YA KUGOMBEA KITI CHA URAISI mwaka 2020 KWENYE CHAMA CHA WACHAGA ZIMEANZA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

MNA RUHUSIWA KUNIPONDA.
Jamani nyie Magamba na makinikia huwa hamna aibu na soni kwa propoganda hizi za enzi za Soviets zilizopitwa na wakati?
 
e2907234ef2622049a5bd414c8b2b0dc.jpg
Matundu ya risasi zaidi ya 15. Mwenyenzi Mungu mlinde Lissu.
 
HAMA KWELI HARAKATI ZA KUPATA NAFASI YA KUGOMBEA KITI CHA URAISI mwaka 2020 KWENYE CHAMA CHA WACHAGA ZIMEANZA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

MNA RUHUSIWA KUNIPONDA.
harakati zinaanza na risasi..
kumekuwa Syria hapa
 
Mmh!So so sad! Ila ni bora kufa shujaa kuliko kufa ukiwa mtumwa.
 
Speechless! Eti TZ ni nchi ya utawala wa sheria na demokrasia. Hadi huyu Mzee amalize kipindi chake...........
 
Mungu Azidi Kutetea Na Kumpigania Mh Lisu. Kila Mtanzania Mwnye Mapenzi Mema Tuzidi Kumuombea Ktk Iman Zetu Ili Mungu Ampe Uponyaji Wa Haraka.
 
Yametimia yale maneneo ya waovu kuwa wanaomba serikali iwape nafasi na tunasikia habari hii ya kusikitisha na kuhuzunisha sana.

Maneno ya viongozi wa awamu hii kuimba kila siku kuwa kuna ''maadui ambao siyo wazalendo'' kila siku katika hotuba zao badala ya kama kuna ushahidi viongozi hao kusisitiza sheria za nchi zichukua mkondo ni hatari sana kwa utengamano na usalama wa wananchi

Simu: ABC HABARI
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom