Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna lolote, usitake kunitishia Mungu. Jana viongozi wetu wa CUF walifariki kwenye ajali na bavicha walishangilia sana na sikuona ukiwarudi hata kidogo. Leo hii ndio unajifanya unamjua Mungu?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini amesema kuwa hali ya mbunge mwenzake Tundu Lissu inaendelea vizuri baada ya kupigwa risasi mguuni, mkononi na tumboni. Daktari amethibitisha.
Lissu ameshambuliwa kwa risasi mapema leo na watu wasiojulikana.
Dah unakosea sanaHakuna shida kwakua wanamuita nabii hata akifa atafufuka na atapaa ataendelea kuwasaidia maana nashangaa tangu lini mbunge akaongoza nchi nzima
KhabithiAu ni kiki za kutaka kuzima habari za kamati za almasi?
umekumbuka mbali sana mkuu R.I.P Imrani Kombe.Nimekumbukia mauaji ya "Imrani Kombe"!
wenyewe wakikusikia mimi simoNi mara mia umuue Mbowe kuliko Lisu
Uwezo alionao Ni exceptional,kumpoteza ni hasara kubwa
Mungu amponye Lissu