DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Sikuelewi sijui unafanya nini.

Unachotaka kusema ni nini hasa? Kwa hiyo walipofariki BAVICHA ndioy waliwaua au Unataka nini? Mimi sikuelewi na sijui nani kamrudi nani.

Unataka nini hasa?


Hamna lolote, usitake kunitishia Mungu. Jana viongozi wetu wa CUF walifariki kwenye ajali na bavicha walishangilia sana na sikuona ukiwarudi hata kidogo. Leo hii ndio unajifanya unamjua Mungu?
 
Tuongee mengi kadri tuwezavyo lakini ni vyema sana kwa wakati kama huu tukachunga maandiko yetu pamoja nandimi zatu kuwaza tuwaze ila tuweke mpaka hisia zikae kidogo pembeni
 
Kwa uwezo wa MUNGU hatokufaa ataponaa tuu na ndo watakuwa wamekwishaa kabisaa
Mtu alishalalamika kabisa kuwa anafuatwa na kumendewa sanaaa. Tusubiri uongo kama kawaida kavamiwa na vibaka waliotakaa kumpora cm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge wa Rombo ndugu Joseph Selasini amesema kuwa hali ya mbunge mwenzake Tundu Lissu inaendelea vizuri baada ya kupigwa risasi mguuni, mkononi na tumboni. Daktari amethibitisha.

Lissu ameshambuliwa kwa risasi mapema leo na watu wasiojulikana.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
KUNA JAMAA ALIOMBA KUMUUA Tundu Lissu na message zilisomwa. Kama wanania ya kumpata muuaji tayari wana namba yake.
 
Nimekumbukia mauaji ya "Imrani Kombe"!
umekumbuka mbali sana mkuu R.I.P Imrani Kombe.
Wanachosahau Watu wasiojulikana ni kwamba falsafa ya maisha inasema "UKIUA SABA WA NANE WAO NI WEWE NK."
Labda inawezekana vitisho na mauaji vinaweza kubadili hali halisi? Labda kunyamazisha hoja kwa kutumia nguvu kunaweza kuwafanya Watanzania wawe washangiliaji wakati jahazi likizamishwa na wazamishaji?
Vilio na maapizo vimeenea kila mahala...
 
Kwel nimeamini hakuna kazi ya hatar kama uanasiasa,bora Mtu akawa Jambaz sugu atasalimika,lakini uanasiasa mpaka ujitoe kwel kwel tena kwa maslahi ya Nchi,lakini hapo hapo unakuwa umegusa maslahi ya wachache,tofauti na hapo unakuwa mwanasiasa mnafiki na usiyekuwa na msimamo kama bendera kufuata upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir GOD anatuangalia tu wanadamu tunavyotesana...ila na yeye uvumulivu humuishaga kipindi fulani.

Tusimfikishe kwenye hicho kipindi.

Jamani usiku mwema.
 
Ndio tumefika huku kama taifa? Eeeeh Mungu tuangalie waja wako
 
Back
Top Bottom