DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Unaibua ishu na kusimama mwenyewe ili watu wakuone wewe ndie mpiganaji pekee uliebaki ndani ya chama,
Unafanya press conference kipekee² bila kuifanya kuwa ya kichama na hivyo kujipatia nafas ya kujijenga mwenyewe ndani ya chama:-
Unataka kuwa Chairman wa chama ajaye?
Unategemea nn kitokee km si kukupoteza ktk nyakati ambazo ni rahis kuisingizia serikali..
 
Roho imeniuma kama vile ni mzazi wangu..!!
Ila ukweli utabaki ukweli ..
Time wil speak out..
 
Fursa ya kuuza vioo vya magari ambavyo ni bullet proof.. wtanzania tulipofikia ndo hapa tukijifanya bado hatuoni itakua tunaendeleza africa kua dark continent.. [HASHTAG]#enlighten[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
85dc193b3d0987ad16e6a2a42a827a6e.jpg
Chuki inatupeleka pabaya sana, mmefikia mahali mnataka kumuua Lissu?
Very sorry mingi sana to TL. Mungu amponye kwa wepesi
 
Mungu Baba wa mbinguni, pengine naweza kuwa sistahili mbele zako kuleta maombi haya kwako kutokana na mapungufu yangu, lakini katika hili Baba Mungu nakuomba usiyatizame mapungufu yangu bali ukusikie kuomba kwangu.

Mungu mwenye enzi Mungu mkuu, Tia mkono wako juu ya kiumbe wako huyu Tundu Lissu kama ulivyomuinua mwanao baada ya shetani kushindwa, Mungu baba wafanye mashetani haya yashindwe vile vile kama yalivyoshindwa kwa mwanao mpendwa Yesu Kristu.

Tundu Lissu amekuwa akiifanya kazi yako kwa kuwakemea mafalisayo na wakuu wa sheria bila woga kama alivyofanya mwanao mpendwa, Baba usiruhusu washinde bali uwaoneshe kwamba huyu anaifanya kazi inayokupendeza wewe na kwamba saa yake haijafika ya kumuondoa kwenye kazi yake uliyompa kwa ajili yetu.
Mpe uzima mpe uponyaji wako ili wapate kujua kuwa shetani hana mamlaka juu ya kiumbe wako hata kama wamemmiminia risasi zaidi ya ishirini, umemkinga Baba kwa muujiza wako maana bila hivyo hata hospitali asingefika akiwa hai kama walivyodhamiri hao shetani.

Nakutumaini Mungu maana hujawahi kuniangusha, nisikie na katika hili wapate kutambua kwamba shetani atendaye kinyume na kazi zako daima hatofanikiwa.

Ahsante Mungu Baba kwakuwa umenisikia na umenipa kibali kuyaomba haya kwako. Ni katika njia ya Yesu Kristu ninakushukuru.
Aamina.
 
Nimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti

WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL


Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA


JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana

Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe


Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa

Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k



Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma

Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k



So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu

Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa


Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa



But Leo wanamkumbuka


SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON
Acha Ku create utetezi mkuu wa kindezi. Hamna cha vita ya uchumi wala nini, acheni kuwapa watu usafi wasiokuwa nao. This is too obvious please
 
Back
Top Bottom