DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

If We Must Die
Claude McKay, 1889 - 1948
If we must die—let it not be like hogs
Hunted and penned in an inglorious spot,
While round us bark the mad and hungry dogs,
Making their mock at our accursed lot.
If we must die—oh, let us nobly die,
So that our precious blood may not be shed
In vain; then even the monsters we defy
Shall be constrained to honor us though dead!
Oh, Kinsmen! We must meet the common foe;
Though far outnumbered, let us show us brave,
And for their thousand blows deal one deathblow!
What though before us lies the open grave?
Like men we’ll face the murderous, cowardly pack,
Pressed to the wall, dying, but fighting back!
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
STUPIDITY !
 
Machozi yananilenga lenga ....kwanza Mola mkingie mkono wako wa kuume mh Lisu.
Pili tunaomba ufafanunuzi Na sababu za kupigwa kwake risasi
 
Serikali inayojua sheria inayovunja mikataba ovyoovyo hatimae tunaliposhwa mabilion
Serikali inayofata sheria inayokula rambirambi
Serikali inayofata sheria inayomkumbatia jambazi mwenye vyeti feki tena aliyeghushi had majina

Ndo serikali hii inayofata sheria?!
HATUWEZI KULINDA SHERIA INAYOTUUMIZA. HATUWEZINKUHESHIMU MIKATABA ILOSAINIWA NAWAPIGA DILI NASISI TUENDELEE KUIABUDU .....IVI KWAN NYINYI WAPINZANI SINDO MLIKUAGA MNALALAMIKIA HIIII ????? MMEKUAJI NYINYI ????????.

NANI ALITHIBITISHA KUA HUYO ULOMTAJA ANAVYETI FEKI ???? .NAKAM ANAVYETI.FEKI KWANN UKAGUZI HAUKUMTOA ?.
 
Ikiwa watu wanafikia hatua ya kuua mtu ili tu kumyamazisha asiongee ukweli basi tunatoka nuruni kuingia gizani
Ukimalizaga kuandika au kutamka maneno kama haya, kisha unamalizia kwa kusema kuwa hayo ni maoni yako binafsi!
 
Sina hakika if this is coicindence ama vipi.....

Ikulu kulikuwa na usanii uleule tuliouzoea kila wakati wa serikali hii wa kupokea wanachokiita taarifa za uchunguzi wa wizi wa madini ya almasi na tanzanite toka kwa wawekezaji ambao walisainishwa mikataba na hawahawa CCM wanaojifanya kulia lia leo .....

At the same time mtu ambaye ni kama ndiye kiongozi wetu ktk kutuamusha na kutushtua kuwa tunaendelea kufanyiwa usanii Tundu Lissu, anapigwa risasi ktk jaribio la kutaka kumuua.....!!!

Wamejaribu kumpakazia kila aina ya vijikesi vya kijinga jinga ili wamfunge jela kama njia ya kumnyamazisha, wameshindwa.....

Sasa the best option walioona inafaa kuendelea kuficha madhambi yao ni kumuua kabisa huyu ndugu yetu....!!

Still ilisemekana kuna watu mawasiliano yao ya email yalinaswa wakiomba kibali kwa mamlaka husika ili wamuue huyu jamaa....

Kelele zikapigwa kuzitaka mamlaka husika zichukue hatua, lakini hakuna lililofanyika na mwisho wa siku leo hii mtu huyuhuyu aliyetishiwa kuuwawa anapigwa risasi ktk jaribio la kumuua!!!

Hii maana yake itakuwa ni nini eti jamani??

Kwa namna yoyote hili halikubaliki na wapenda haki na amani ktk nchi hii tunalilaani tukio hili la kijinga kwa nguvu zoote....

Haiwezekani tukawa na viongozi wa serikali wasiokosolewa na wanapokosolewa hujificha kwenye kichaka cha kuwaita wanaowakosoa kama "si wazalendo"..

Sina hakika hata kama wanaelewa maana ya "uzalendo" hawa. Nadhani kwao, uzalendo ni kutukuzwa na kusifiwa. They are wrong....

Sasa ni vyema tuwafundishe maana halisi ya uzalendo kwani ni wazi hawajui, hawaelewi....

Mwisho, nyie viongozi wetu wa serikali chini ya Rais John Pombe Magufuli ambao tumewapa mamlaka na madaraka, tunawaomba tushindane kwa nguvu za hoja na si kwa kutumia hoja za nguvu (kulazimisha hoja hata kama ni upupu zikubalike) na mwisho mkiona mmeshindwa kulazimisha hayo ya kwenu kukubalika, mnaanza kuchukua uhai wa watu wanaowakosoa na kuwashinda kwa hoja..

Hili kwa kweli ni hapana, halikubaliki hata Kidogo.......na ni kujitafutia laana tu mbele za Mungu wetu aliyetuumba!!!

Tafadhali tunawaomba saaaana tena sana msiingize nchi yetu ktk umwagaji wa damu bila sababu za msingi, kwa makosa yenu wenyewe....!!

Tundu Lissu huko ulipo hospitalini, kamanda wetu, Mungu wa mbinguni muumba wa mbingu na nchi akusaidie na kukuokoa kutoka ktk mauti ya kutengenezwa na wakola hawa....!!!

Utapona kamanda na mapambano yataendelea hadi wakoloni hawa weusi chini ya Chama Cha Makinikia - CCM watakaponyoosha mikono yao juu ku - surrender...!!
 
Back
Top Bottom