Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
shall be fail? Ha ha ha....shall be fail in the name of Jesus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shall be fail? Ha ha ha....shall be fail in the name of Jesus
Sawa......
.....Mtumishi wa Shetani
Umenyanayaswa na nani na umeuawa na nani acha uchochezi na viacje vyombo vya dola vifanue kazi yake naamini hao vibaka watakamatwa tu.Kuweni na moyo mkuu makamanda wote wa CHADEMA na wapenzi wote wa Chama na watanzania wote wapenda Amani...tumevumilia sana, tumenyanyaswa sana! Tumeuawa sana...lakini tumeendelea kuwa wapole zaidi ya kondoo ili amani itawale
Mungu anakuona
mtu akishaanza kula nyama ya mtu atakula tu ...mtawala ameshaamua kuwa muuwaji atawauwa tu wapinzani wake wote wa ndani na nje ya chama chake.......wameona kwenye kioo risasi hazipenyi wakapiga kwa chini majasusi hawa....waliowatuma Watashindwa na watatangulia wao...huyu Lissu anaombewa na wanyinge wote wa taifa hili.... Atavuka tu.....inauma Sanaa......maana wanaofanya haya mambo wanajulikana....wameanza kwa kutishia silaha watu hadharani wakaachwa...sasa wanataka kuua kabisa mchana kweupe...tukio hili litazidi kuwaamsha wwatanzania dhidi ya utawala huu dhalimu...
Usiniletee imani zako za kishirikina.Ni vizuri kuwa na busara katika mambo kama haya, hujui kesho litakupata lipi ama nduguyo wa karibu atafikwa na jambo gani baya. Usifurahie kuanguka kwa adui yako, Mungu ameweka sheria ambazo zinahukumu maisha yetu ni complicated kutambulika. Kwa hiyo jitafakari ndugu
So suka angekanyaga mafuta kwenda wapi kwa mfano?Hii ni habari mbaya sana na inapaswa kukemewa na kupingwa kwa nguvu zote.
Sasa najiuliza dereva mzoefu kiasi cha kumuendesha mtu ambaye ni 'high risk' unagundua kuna gari inakufuata katika options zote unaamua kwenda nyumbani? Tena unajua ukishaingia getini ni dead end utajiteteaje kwenye incident kama hii?
Una VX V8 unahisi gari inakufuata nyuma unashindwa kukamua mashine hio unaamua kwenda nyumbani?
Mimi nikihisi gari inanifuata nyuma siingi nyumbani napitiliza.
Hii ni kitu mbaya sana.INACHAFUA TASWIRA YA NCHI YETU na HESHIMA TULIYOJIJENGEA NDANI NA NJE YA NCHI na PIA ni kiashiria cha uvunjifu wa AMANI kwenye nchi yetu mnayoimbanua kuwa ni KISIWA cha AMANI.
Sent using Jamii Forums mobile app
kumekucha
ika mazingira magumu kama haya kinachotakiwa ni kuwa na imani tu, wakisema waanze kujipa muda wa kutafakari hayo hata nusu saa haiifiki. Matibabu anayoyapata ni ya dharula kumbuka, Mungu anayeendelea kumpa uhai walau kwa saa kadhaa baada ya tukio ataendelea kumlinda.Hivi familia yake haiwezi kusimamia matibabu yote bila kuhusisha watu toka Bunge na Serikali?
Nani anasauti ya mwisho juu ya matibu ya Lissu ni Familia yake, Bunge, Chama chake au Serikali?
Mbowe na Lowasa wana mkono.Magufuli na Bashite wanahusika