DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

We wish you quick recover our beloved brother TL and we are praying for you. Psalm 23.
 
IMG-20170907-WA0006.jpg


Sent from my TV
 
Kuweni na moyo mkuu makamanda wote wa CHADEMA na wapenzi wote wa Chama na watanzania wote wapenda Amani...tumevumilia sana, tumenyanyaswa sana! Tumeuawa sana...lakini tumeendelea kuwa wapole zaidi ya kondoo ili amani itawale
Umenyanayaswa na nani na umeuawa na nani acha uchochezi na viacje vyombo vya dola vifanue kazi yake naamini hao vibaka watakamatwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...wameona kwenye kioo risasi hazipenyi wakapiga kwa chini majasusi hawa....waliowatuma Watashindwa na watatangulia wao...huyu Lissu anaombewa na wanyinge wote wa taifa hili.... Atavuka tu.....inauma Sanaa......maana wanaofanya haya mambo wanajulikana....wameanza kwa kutishia silaha watu hadharani wakaachwa...sasa wanataka kuua kabisa mchana kweupe...tukio hili litazidi kuwaamsha wwatanzania dhidi ya utawala huu dhalimu...
mtu akishaanza kula nyama ya mtu atakula tu ...mtawala ameshaamua kuwa muuwaji atawauwa tu wapinzani wake wote wa ndani na nje ya chama chake....
nashangaa sana wanaoshangilia huu utamadun mpya pengine nao ni mamluki wa kutoka rwanda kama huyo
sio maisha yetu haya watanzania
 
Ni vizuri kuwa na busara katika mambo kama haya, hujui kesho litakupata lipi ama nduguyo wa karibu atafikwa na jambo gani baya. Usifurahie kuanguka kwa adui yako, Mungu ameweka sheria ambazo zinahukumu maisha yetu ni complicated kutambulika. Kwa hiyo jitafakari ndugu
Usiniletee imani zako za kishirikina.
 
Hii ni habari mbaya sana na inapaswa kukemewa na kupingwa kwa nguvu zote.
Sasa najiuliza dereva mzoefu kiasi cha kumuendesha mtu ambaye ni 'high risk' unagundua kuna gari inakufuata katika options zote unaamua kwenda nyumbani? Tena unajua ukishaingia getini ni dead end utajiteteaje kwenye incident kama hii?
Una VX V8 unahisi gari inakufuata nyuma unashindwa kukamua mashine hio unaamua kwenda nyumbani?
Mimi nikihisi gari inanifuata nyuma siingi nyumbani napitiliza.
So suka angekanyaga mafuta kwenda wapi kwa mfano?
Arudi rivas to Bungeni?Akanyage mafuta kwenda home au aanza kuzunguka nao wakora?

May Allah bless Me and You
 
f273427030a809a37adca7a056f9af13.jpg

Kinachotuunganisha wote hadi sasa ni Huzuni hii kuu juu ya Tukio hili la ajabu kwa MH Tundu Antipas Lissu. Uzima wa Lissu sasa ndio hitaji kuu,tumuombee,tumtakie heri, tumlilie kwa Muumba wetu sio kama mwanasiasa wa Chadema,au Mleta changamoto bali kama Mtanzania anayestahili Uhai,baba anayestahili kurudi nyumbani kupokewa na watoto wake kama baba mwingine, Kama member mwenzetu wa JF.
Kipimo cha uanajamiiforum wetu ni huruma ya kibinadamu ituunganishayo katika kutofautiana kwetu sisi kwa sisi hata sisi na lissu.

Mungu wa Mbinguni msaidie mja wako, Tunaomkosoa tuendelee kumkosoa akiwa hai,Tunaemshabikia Tumshabikie huku roho ikiwa puani mwake.Mungu Tundu Lissu asife.

Nana anahusika? Mungu na waliohusika labda na Shetani wanajua. Sioni sababu ya kujigeuza manabii,watabiri,majasusi,speculators na kuishia kutengana.Tujikite kwenye kinachotuunganisha. Mungu mponye na Muokoe Tundu LISSU.
 
Mungu ni mwema kila wakati, tumuombee arudi salama, awaaibishe hao mashetani watoa roho za watu wasema kweli.

#prayforlissu#
 
Kat
Hivi familia yake haiwezi kusimamia matibabu yote bila kuhusisha watu toka Bunge na Serikali?

Nani anasauti ya mwisho juu ya matibu ya Lissu ni Familia yake, Bunge, Chama chake au Serikali?
ika mazingira magumu kama haya kinachotakiwa ni kuwa na imani tu, wakisema waanze kujipa muda wa kutafakari hayo hata nusu saa haiifiki. Matibabu anayoyapata ni ya dharula kumbuka, Mungu anayeendelea kumpa uhai walau kwa saa kadhaa baada ya tukio ataendelea kumlinda.
 
Back
Top Bottom