DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Ni asubuhi nyingne tena ambayo Mungu ametupa nafasi ya kuliona jua, naomba uungane nami katika maombi haya, naamini Mungu atakubariki na kusikia kilio chako.

Baba kt jina la
Yesu,tunakushukuru kwa
ajili ya uzima unaotupa
tunajua ni kwa neema na
rehema zako eeh Mungu,
ninarudisha sifa,utukufu
na heshima kwako eeh
Mungu mtakatifu ktk jina
la Yesu kristo wa
nazateth!
Nina liinua jina lako
,ninalitukuza ee mfalme
na Mungu mwenye nguvu!
Tazama ni wakati
mwingine tena ,ninaomba
toba kwa kila jambo
nililofanya ambalo
halikupendezi Mungu,kwa
kuwaza,kunena na
kutenda!
Naomba toba kwa kila
atakaesoma
hapa,uturehemu eeh
Bwana,utusamehe neno
lako linasena, wote
tumetenda dhambi na
tumepunguliwa na
utukufu! Lkn wewe una
rehemu maelf elf
wakurudiao;
Mrehem eeh Bwana ht mtt
wako mh.Tundu lissu kwa
kila jambo alilolifanya
kinyume na mapenzi yako
na likampa adui nafasi na
mlango ,ninaomba toba
,umsamehe eeh
Bwana,ninasimama
mahali palipobomoka eeh
mfalme wa amani
,mrehem na umsamehe
eeh Bwana ,,msafish kwa
damu ya Yesu kristo wa
nazareth!
Ninaenda kinyume na kila
mipango mibaya juu yake!
Ninakataa mauti
ninakemea mauti ktk jina
la Yesu kristo wa
nazareth,nina achilia
damu ya Yesu kwenye
hiyo hospital,mpk
wanaotumika
kumuhudumia!damu ya
Yesu ikanene mema juu
yake,ninaenda kinyume na
kila mipango ya adui
,nguvu za giza ktk
ulimwengu wa Roho na
wa mwili , NINABATIRISHA
,NASAMBARATISHA KILA
VIKAO VYAO,MAANA
IMEANDIKWA'BWANA
ATABATILISHA MASHAURI
YAO' NAFUTA MIPANGO
YAO! NACHAFUA LUGHA NA
USEMI WAO ktk jina la
Yesu.AMINA
Amina
 
Ninazilaani falme za kuzimu na mamlaka za giza katika jina la YESU Kristo. Kila roho inayoinuka juu ya kuvuruga amani ya nchi yetu ninaiseta kuzimu katika jina la YESU Kristo. Roho isiyo na hatia haitapotezwa na waasi katika jina la YESU Kristo wa Narazeth aliye hai.

Eee Mungu Mkuu katika jina la YESU, namwinua Mbunge Tindu Lissue mbele zako, mkono wako wa Uponyaji ukamguse na kumponya kwa jina YESU. Naituma damu ya YESU ikanene mema juu yake ktk jina la YESU Kristo. AMINA
 
Baada ya taarifa kuhusu kupigwa risasi Mh. Tundu Lissu jana mchana, kuna taarifa pia toka ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa wakae chonjo na tayari kudhibiti maadamano au mikusanyiko yeyote ( kama itatokea) yenye lengo la kulaani kupigwa risasi mh. Lissu.

Pona mapema ndugu Lissu.
Wamempima mkojo hawakulidhika, wamemwaga damu yake hawajaridhika sasa wanataka wamwage damu ya wananchi, subiri tujipange
 
Ni asubuhi nyingne tena ambayo Mungu ametupa nafasi ya kuliona jua, naomba uungane nami katika maombi haya, naamini Mungu atakubariki na kusikia kilio chako.

Baba kt jina la
Yesu,tunakushukuru kwa
ajili ya uzima unaotupa
tunajua ni kwa neema na
rehema zako eeh Mungu,
ninarudisha sifa,utukufu
na heshima kwako eeh
Mungu mtakatifu ktk jina
la Yesu kristo wa
nazateth!
Nina liinua jina lako
,ninalitukuza ee mfalme
na Mungu mwenye nguvu!
Tazama ni wakati
mwingine tena ,ninaomba
toba kwa kila jambo
nililofanya ambalo
halikupendezi Mungu,kwa
kuwaza,kunena na
kutenda!
Naomba toba kwa kila
atakaesoma
hapa,uturehemu eeh
Bwana,utusamehe neno
lako linasena, wote
tumetenda dhambi na
tumepunguliwa na
utukufu! Lkn wewe una
rehemu maelf elf
wakurudiao;
Mrehem eeh Bwana ht mtt
wako mh.Tundu lissu kwa
kila jambo alilolifanya
kinyume na mapenzi yako
na likampa adui nafasi na
mlango ,ninaomba toba
,umsamehe eeh
Bwana,ninasimama
mahali palipobomoka eeh
mfalme wa amani
,mrehem na umsamehe
eeh Bwana ,,msafish kwa
damu ya Yesu kristo wa
nazareth!
Ninaenda kinyume na kila
mipango mibaya juu yake!
Ninakataa mauti
ninakemea mauti ktk jina
la Yesu kristo wa
nazareth,nina achilia
damu ya Yesu kwenye
hiyo hospital,mpk
wanaotumika
kumuhudumia!damu ya
Yesu ikanene mema juu
yake,ninaenda kinyume na
kila mipango ya adui
,nguvu za giza ktk
ulimwengu wa Roho na
wa mwili , NINABATIRISHA
,NASAMBARATISHA KILA
VIKAO VYAO,MAANA
IMEANDIKWA'BWANA
ATABATILISHA MASHAURI
YAO' NAFUTA MIPANGO
YAO! NACHAFUA LUGHA NA
USEMI WAO ktk jina la
Yesu.AMINA
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It's a small world ("It's a.. small world..")
Nigga you reap what you sew
What goes around, comes around
If you sleep you don't know
A very small world ("It's a.. small world..")
where beef could never end
At the time you least expect it
I'm gonna see you again
It's a small world ("It's a.. small world..")
You get away with it now
Soon enough it catches up to you
Someway, somehow
Yo it's a small world
Watch what you do.. ("It's a.. small world..")
---------Small world ..Nas..----------
 
Back
Top Bottom