DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kumbukumbu ya tarehe.. Ingekuwa leo ni kwenda kupalilia kaburi[emoji24]
yeah, tena akaweka amri kwamba hata Karimjee asije - yaani jamaa akazikwe kama raia wa kawaida huko kwao Ikungi, hata BUNGENI asiingie.... Mungu akasema hapana.

Sasa wanadamu wajue kwamba Mungu yupo na anaishi - jamaa hakutubu baada ya kumkosea Mungu wake matokeo yake tunapalilia kaburi lake kwa Ujeuri wake.

Daniel 5; 1-31 kila kitu kimeezwa hapo, adhabu ya Mtawala Jeuri asiyemtii Mungu wake huwa ni mauti.
 
Baada ya kujadili muungano, haya mambo yalimtokea Tundu Lissu. CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote.

Baada ya kujadili muungano, haya mambo yalimtokea Tundu Lissu. CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote.

Amekula kona sasa hivi anaishi Ubelgiji. Halafu kalenga kiwanja poa, kwasababu kwa michongo ya kujilipua kwenye nchi Ulaya, Ubelgiji ndo kiwanja oyaoya kilichobaki
 
Back
Top Bottom