Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujadili ya tozo nduguHivi uchunguzi wa tukio lake umeishia wapi?
yeah, tena akaweka amri kwamba hata Karimjee asije - yaani jamaa akazikwe kama raia wa kawaida huko kwao Ikungi, hata BUNGENI asiingie.... Mungu akasema hapana.Kumbukumbu ya tarehe.. Ingekuwa leo ni kwenda kupalilia kaburi[emoji24]
Baada ya kujadili muungano, haya mambo yalimtokea Tundu Lissu. CCM wako tayari kuulinda muungano kwa gharama yoyote.
Kiukweli hili ni tukio la aibu sana kwa serikali yetu kuhusu wasiojulikana. WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?Wakuu,
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.