Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Sioni tija ya mbunge kwa idadi hiyo la kufadhiliwa na mwenye serikali yake. Wapitishwe kwa hisani ya dola kisha wakaisimamie serikali???
 
Hadi sasa umenizidi nini kama ni bei ya cementi inatuhusu wote think bigger.
Nakuzidi uthubutu na kuchukua hatua,wewe unalalamika zaidi kuliko mimi ninaetafuta pesa kwa bidii ili ninunue mfuko wa simenti elfu 30.
mlisema mtaingia lodi vipi tena,barabara azipo au zimeibiwa na NEC?
 
Litakuwa bunge la hovyo kabisa kihistoria, ngoja tuone.
 
Ni kwamba bunge lina mamlaka yake kwayo kama mwanzo walikataza leo wameamua liwe live ondoa shaka
Unajua sababu zilizofanya bunge lisiwe live?
1.Gharama za kurusha live walisema ni kubwa,kuna taasisi binafsi zilijitolea kugharamia lakini wakakataa!
2.Wakasema ni muda wa kazi hivyo likiwa live wananchi wataacha kufanya kazi na kuangalia bunge!

Swali la msingi hapa,je,kwenye hizo sababu zilizotolewa kabla na waziri wa habari Nape Nnauye zimebadilika?

Kwanini watanzania mnafanywa wapumbav nanyi mnashangilia bila kufikiria?
Ndio maana mnaonekana wajinga kama sio maiti!
 
Hii ni ghasia itokanayo na short/ufinyu kwenye vichwa vya watawala.
 

Naam,awamu rasmi ya Bunge la kusifu na kuabudu. Kila la heri Bunge la 12.
 
Wabunge wa CUF na CHADEMA ? AU mbunge
CUF Ina wabunge watatu wawili toka Zanzibar mmoja bara wote wameenda Chadema Ina mbunge mmoja kaenda ACT wazalendo Wana wanne kutoka Zanzibar wote wameenda
 

DAMU YA WATANZANIA ILIYOMWAGIKA HAITAWAACHA SALAMA.
 
Natamani watunge na sheria ya kumlazimisha kila mtu kutazama Bunge likiwa live. Asiyetazama achapwe viboko na faini juu,
 
Fahamu kwamba sasa tuko uchumi wa Kati kwayo pesa tunazo wenyewe imeamuliwa liwe live usihofu kwa hilo
 
Vichaa wamepewa rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…