Tunutu maharajy
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 109
- 30
Sio kweli ni kwamba wewe unapotezaga haki yako ya msingi hafu unajisifu acha ujingaKwa nch a
ni bora kuonekana dhaifu kuliko kuonekana hujielew unapiga kura mgombea anakwambia hata ukipiga kura huko mm ndio ntatengeneza serikal afu ukichek katiba mkurugenz NEC anamteua yy
Eti mpaka apo hajaelewa nyiny ndio mnasababisha waafrika tutukanwe
Jisome tena kama utajiekewa!Mtaji wa CCM ni wajinga na masikini kama Twaweza walivyowahi kusema!Rejeleo la maneno yako hayana uthibiti chanya tambua mtaji wa ccm ni ilani nzuri yenye kutekelezeka na wewe pia ni dhahiri wahaya japo itakuwa mbishi
Huo ni mtazamo wako na fikra zako za kufikiri zimeishia hapoBunge lilikuwepo kuanzia miaka ya 2000 +,hadi 2020,hili la sasa sio bunge bali ni kikao cha Chama tawala .
Ndio maana mm nachukia kuwa mtanzania sasa unakanusha sio kwel wakat mtu kaongea hadharan na kila kitu kimesikika eti napoteza haki yangu ya msing u ajua maana ya neno haki right is anything you deserve to get ni kitu chochote unachostahili kupata sasa eti kupika kura ni haki yngu tena kwa ulivyp hamnazo ukasema eti ni haki yangu ya msingi tafuta wa kumdanganya ila sio mm semen tu mlitaka mjaze vituo vyq kupiga kura ili uchaguz uonekane fairSio kweli ni kwamba wewe unapotezaga haki yako ya msingi hafu unajisifu acha ujinga
Wawajibu Wananchi kwanini bei ya saruji mfuko mmoja mkoa wa geita ni tsh 42,000? Walizoea kuijibia serikali.sasa wajibu I wapigakura wenuChama kimoja
Naomba ni kwambie yakwamba Tanzania ni nchi ambayo ina jali haki ya kila mmoja sasa sijui umenyimwa haki ganiNdio maana mm nachukia kuwa mtanzania sasa unakanusha sio kwel wakat mtu kaongea hadharan na kila kitu kimesikika eti napoteza haki yangu ya msing u ajua maana ya neno haki right is anything you deserve to get ni kitu chochote unachostahili kupata sasa eti kupika kura ni haki yngu tena kwa ulivyp hamnazo ukasema eti ni haki yangu ya msingi tafuta wa kumdanganya ila sio mm semen tu mlitaka mjaze vituo vyq kupiga kura ili uchaguz uonekane fair
MM BILA KATIBA MPYA SIEND KUPIGA KURA io kauli yko ya kupiga kura ni haki yako ya msing kawaambie wamachinga ambao hata awajui maana ya neno haki
Kikao cha wachawi.Kikao cha watu wa chama fulani!!
Mmeshaambiwa wabunge vijana wa Ccm watawatendea haki. Sasa mnataka nini tena? Mmezoea kulialia tu.Hatuna Bunge hapo.
Hii ni njama ya wapinzani na madrama yao wanatengeneza mazingira kuonyesha serikali haifanyi kazi watanzania msidanganyike hakuna sehemu tunauza sementi bei hizoWawajibu Wananchi kwanini bei ya saruji mfuko mmoja mkoa wa geita ni tsh 42,000? Walizoea kuijibia serikali.sasa wajibu I wapigakura wenu
Wewe nenda kapige kura 2025 mm huwez kunibadili hoja zako ni dhaifu naona unataka nikupe madini we unipe mawe swali lako silijibu sababu u luk like buku 7 upo hapa kusawazisha haramu ionekane harariNaomba ni kwambie yakwamba Tanzania ni nchi ambayo ina jali haki ya kila mmoja sasa sijui umenyimwa haki gani
Kwa akili yako 10% ya wabunge 357 ni ngapi?Labda mbunge wenu wa Nkasi