Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepata hela umekuwa jeuri sandali.[emoji1787]
View attachment 2092348
Watu watano wa familia moja wameuawa na watu wasiojulikana katika eneo la Zanka wilayani Bahi mkoani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Onesmo Lyanga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amebainisha kuwa Jeshi hilo linaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo.
Chanzo: Radio One
Maovu yameletwa na viongozi wa nchi wanaoamini katika wizi, uporaji na kupuuza sheria.Uwezekano ni Visasi ndani ya Jamii.
Viongozi wa Kiimani hawafanyi kazi zao vya kutosha, wamewaachia Waganga wa Kienyeji kuendesha Jamii huku wao wamejikita kwenye kuhimiza UTOAJI wa sadaka.
Huyu kuna siku atasema ijengwe ikulu ya raisi wa machifu.mikoa miwili sasa amaimaliza.nasikia mkoa unaofata ni kagera
#chifu hangaya
#chifu chui jike manka.
Bukoba naskia watamuita ,
#chifu kokubanza
Kwa hiyo unataka kusema Samia ndio kawaua?Watu waelimishwe tu, hamna cha maombi hapo, kitafutwe chanzo cha mauaji, tatizo mnachagua aina ya ukatili na watu wanaofanyiwa, mf. Ukatili unasemwa dhidi ya wanasiasa hamkemei wala hamna maombi, kumbe ndio mnapanda mbegu ya chuki na ukatili!
Mbowe sio Gaidi
Maovu yameletwa na viongozi wa nchi wanaoamini katika wizi, uporaji na kupuuza sheria.
Kama kiongozi anapata mamlaka kwa kuiba kura na hakuna namna ya kumtoa. Kama polisi inachukuliwa kama kikundi cha wahalifu. Kama matapeli, wezi na mafisadi ndiyo wanaosifiwa kuwa wajanja...
Si yule aliyembambikia kesi ya ugaidi, a.k.a kesi ya mchongo. Yupo Segerea.Chui dume yu wapi??!!
Duh,nimesoma hapa imenijia picha ya Bw Ramadhani Ntuzwe...ni karibia mwaka wa tano huu anahangaikia haki yake na mpaka wa leo wanampiga chenga tu.Maovu yameletwa na viongozi wa nchi wanaoamini katika wizi, uporaji na kupuuza sheria.
Kama kiongozi anapata mamlaka kwa kuiba kura na hakuna namna ya kumtoa. Kama polisi inachukuliwa kama kikundi cha wahalifu. Kama matapeli, wezi na mafisadi ndiyo wanaosifiwa kuwa wajanja...
Kichwa kikishavurugwa na 2025, ndiyo matokeo yake haya. Badala ya kupambana na mfumuko wa bei, kuimarisha na kuboresha sekta ya kilimo, ajira, viwanda, biashara, nk.Huyu kuna siku atasema ijengwe ikulu ya raisi wa machifu.mikoa miwili sasa amaimaliza.nasikia mkoa unaofata ni kagera
#chifu hangaya
#chifu chui jike manka.
Bukoba naskia watamuita ,
#chifu kokubanza
Binadamu ni hatari zaidi wanyama tangu zamani sana ndio maana ya kuwekwa katiba na sheria.Nina muda sanaa sijawah kuskia tembo,simba au chuii kaua mtu zaid kwa sasa ni kuskia auawa au wauwa..na wanaohusika ni binadamu...hii inaonesha ni namna gani binadamu tumekuwa hatar zaid ya wanyama
Duh..Raynavy naye ni chui[emoji205][emoji205][emoji205]
View attachment 2092353
Mungu hajawahi kuokoa watu yy mwenyewe anakata watu wampiganie wamteteMauaji yanazidi kwa kasi sana...ndugu zangu tumrudieni Mwenyezi Mungu ili tuwe na upendo. Kwa sasa upendo umekwisha baina yetu, bila Mungu hatuwezi kutatua hili swala!. Eeeh Mwenyezi Mungu tuokoe waja wako..