Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Vibaka tu. Kwani polepole hana familia hadi nyumba ibakie bila hata ulinzi?
Hata kwa Lisu mlikana aliposema kuna watu wanamfatilia mwisho umeona kilichompata. Sikia hao watu siyo vibaka Kama unavyosema wametumwa na watamdhuru Kama akiendelea kuongea Sasa Kama ana moyo ule wa Lisu wa kutokunyamaza kusema Ukweli andelee Ila aelewe watamuumiza.It is never personal kati yangu na Bi Tozo
Japo naunga uhuru wa Polepole, ila kwenye hili tukio naona kama vibaka tu wametumwa na wahuni.
Sidhani watu wa serikali wana njaa ya kuondoka na TV.
Tanga hirizi za kumwaga siyo?
Ana wajukuu wapo dar,ni kazee kaleKwani Polepole bado ni mseja? Hapo nyumbani hawakukuta hata katoto kadogo na kasichana ka kazi?
negative person!!! you will never be happy
Uwezipishana na maneno mliotamka kwa Lisu mwisho kilitokea nini?. Uwe mkweli mwambie anyamaze mtamuuwa.acha kutetea ujinga na uku watu wanaumiaUkiwa na Akili fupi hapa unaweza kudhani kuwa hili tukio ama limefanywa na CCM au na System iliyo chini yake.
Lakini ukiwa na Akili Kubwa utakubaliana nami KEROZENE kuwa hili ni Tukio la Kupangwa Kimkakati tena na Mhusika Pole Pole mwenyewe...
Siasa za kishamba .wahuni bhanaaaHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Safi sn wangemvunja na yeyeHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Inatakiwa wauane kabisa hao wapuuziCCM wako pazuri kuelekea hatima yao.
Inatakiwa na Bashiru avamiweKina Polepole walifikiri wasiojulikana wataishia kwa kina Lisu tuu, Nyerere alionya ukianza ukabila utaishia kukutafuna mwenyewe
Mi nadhani wamekosea ilitakiwa wamtandike yeye mwenyeweWakati anawapongeza Polisi kwa kumpiga Tundu Lissu risasi alijua yeye na Magufuli watakuwa na nguvu za kidola daima?
Hakiwezi kufa kwa nature ya waTz . Lakini pili wana hazina ya taifa.Nature inafanya kazi yake sasa.wameiba kura lakini nature hawawezi kuiba.muda sio mrefu chama kitameguka hatimae kufa kabisa.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Wewe ni jinga sana, atobolewe macho?
Wakati yanatokea kwa wapinzani vijana wa UVCCM walikuja na kauli kuwa wapinzani wanafanyiana wenyewe ili kupata huruma ya wananchi.Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa View attachment 2041847
inawezekana wahuni ndo wameacha hapo kama warning kwamba ukiendelea next time tusilaumiane
Pamoja na yote mama amewakumbuka sana wafanyakazi, amewapandisha madaraja na vyeo ambapo kwa miaka mi5 hawakuwahi kupata. Kujifanya huoni alichofanya ni ujinga.In Next 10 Years, Tusipoingia kwenye Mapigano ya Sisi kwa Sisi au kutoka Nje, Basi Mungu atakuwa upande wetu. Tanzania kwa Sasa Tunaihitaji sana Ile Chadema Ya 2015, Ile Chadema Ya Kina Zitto na wengine.
Ye mwenyewe Pole pole,anawajua na aliwahi kufanya nao kazi, hao ni wasio julikana kwetusasa hapo hawajulikani kivipi wakati ujumbe walioacha unajieleza.