Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya...
Mambo ya kujitekenya mwenyewe alafu unaangua kicheko ni ushamba tu..!! Tumechoshwa na sinema zenu
 
Karma is a bitch .

Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanapigwa risasi anaona poa...
Nonsensical post, hivi Katibu mwenezi wa Ccm taifa anahusika na kutoa amri watu washughulikiwe?
 
Ooooh Serikali yetu hii .. kila lakheri Polepole usikate tamaa
 

kwahiyo mafile na vitanda kupekuliwa hapo unalinganisha na kusawazisha nape kushikiwa pistol na lissu kupigaa risasi??
vipi kama ni tukio la mchongo hili!!!usharidhika kwamba amelipwa ubay wake[emoji38]
 
anataka kuchafua Siri Kali anatumiwa na mabeberu..
 
Upambe nuksi sana na hapa inabidi tujifunze kitu mama Samia hawezi kutuma watu kufanya upuuzi wa aina hiyo.

Ata kwa Magufuli ilikuwa ivyo ivyo mambo mengine ni wapambe tu; hawa watu ogopa.
Kwaiyo ata kutolewa camera kwenye nyumba aliyokua anakaa Lissu na kusema msaliti Katikati ya Vita ni wa kuuwawa bado hausiki..alichukua hatua gani makonda alivyo vamia clouds
 
wapi palipovunjwa? kinachoonyeshwa ni mpangilio mbovu wa getto, mageto ya mabachela mengi yapo hivyo unaweza kuta mpaka sufuria juu ya kitanda. Asitafute attention hakuna aliyemvamia
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ...
Ufalme uliofitinika hauwezi kusimama daima

WAKITUMALIZA SISI WATAWAGEUKIA NINYI
In lissu voice

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Bado bashiru kuvamiwa
Bashiru Kichwa, yupo vizuri sana, ni vile tu alivurugwa na Jiwe kama wengine wengi waliovurugwa miaka 5 iliyopita, soon atakumbukwa na Bi Mkubwa. Ila siyo huyu Kiroboto, hafai kabisa, Kigeugeu! Kuna viroboto 3; 2015 kushuka chini, 2016 hadi kifo cha Jiwe, na huyu wa sasa!! Mtu mmoja versions zaidi ya 3 ndani ya miaka 7
 
It is never personal kati yangu na Bi Tozo

Japo naunga uhuru wa Polepole, ila kwenye hili tukio naona kama vibaka tu wametumwa na wahuni.

Sidhani watu wa serikali wana njaa ya kuondoka na TV.
Mimi nilitamani wasepe na Mr. Slow Ili maana Ile ya malipo hapa hapaa duniani itimie na impe funzo Kwa matendo na mameno yake Kwa wengine.
 
Hakuna mtu wa kuhangaika na polepole watakua vibaka tu hao
 
Waliharibu nchi wao wenyewe, Hivyo hayo yote ni matokeo ya kazi zake mwenyewe, hivyo angekuwa na aibu angetulia kimya tu!
 
Polepole alikuwa amelewa tu na akaja na changudoa wakashindwana bei,changudoa akamfanyia fujo na kuchukua tv afidie malipo yake.

Hajavamiwa na wasiojulikana ni muongo...KARMA AT WORK.

Mbowe and Lissu walifanyiwa ivyo na wasiojulikana mkakejeli.

Aya sasa pambana!
 
Wahuni wamefanya yao, akendelea na chokochoko kuwaita wahuni watarudi tena na this time watahakikisha wanavunja na yeye yumo. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…