Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Na ndio maana kipindi kile waislam walipigwa bit kuomba dua juu ya kilichofanyika kwa tundu lisu...Mungu huyu kweli hapokei rushwa! Badala yake wakatangulia wao
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
Mkuu unahakika na unacho kinena au unatulisha matango pori tu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani wanatucheleweshea maendeleo

Kwan mkuu wa shule ya uongoz hajafunga cctv camera kwake ? Au ndio kusema geti lilikuwa wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…