Kwani yeye polepole hana maovu?Polepole anapaswa ajikaze, lile kundi la wahanga wa Magufuli wanaonekana kujipanga, nimemsikia mzee mwingine leo kajitokeza.
Anapaswa akubali matokeo mbaya zaidi ameahidi kuwaanika baadhi yao, so hii inaweza kuwa wanamuwahi kumnyamazisha ili asianike siri zao
Ni hatari sana.
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
Unaijua v8 wewe?Imekaa kimbea/kiubuyu kwanini isitembee
watu anao tena ni vijana na viongozi
Pole sana kiongozi wetu mzalendo.Hakika Mungu atawalipia na tunakuombea siku moja uwe kiongozi mkubwa hapa nchini.Wewe ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki Tz
Yule jamaa mwenye sonona kali baada ya kutoswa amekuja na igizo jipya safari hii akidai kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kama alivyopost kwenye mtandao wa facebook leohii!
View attachment 2041918