DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

Wote ni masikini mkuu ,matajiri hawafanyi kazi ,matajiri wanakula bata tu ,walishajipata kitambo ,hao unaowazungumza ni WEZI wa MALI ya UMMA na ndiyo maana wapo tayari kuua ili mradi waendelee kuwaibia waTZ.

Katika Maisha yangu sijawahi kumuonea wivu tajiri hata siku moja maana utajiri wake au umasikini wake mimi haunisaidii hata kidogo ,nitapiga kelele endapo tu kama NI JIZI LA MALI ZA UMMA.
Kila mtu mnamwita mwizi Sasa mbona hizo Mali zinazoibwa haziishi?
 
Kujitetea kwa nini miradi haiendi kwa wakati wakati kodi inakusanywa,Majibu aliyonayo ni kwamba wahisani wetu wapo vitani Ukraine hivyo miradi yetu imekosa ufadhili.
nawaza.
 
Kila mtu mnamwita mwizi Sasa mbona hizo Mali zinazoibwa haziishi?

Unataka kusema haujui jinsi MALI ZA UMMA zinavyoibiwa? Really? Like Seriously? Hata Report za CAG haujawahi kufuatilia au na wewe kwa akili ya kuvukia barabara hauoni jinsi mali za umma zinavyopigwa? Na bado upo ndani ya JF the Home of Great Thinkers? Au wewe ni Great Sinker? Unataka kusema Nyerere alivyosema ziacheni kwanza hizi mali watakuja kutumia waTZ wakipata akili alikuwa mjinga? Kwahiyo hizo mali(natura resources) enzi za nyerere badi zina ujazo ule ule mpaka sasa? Haujui kuna baadhi ya migodoi ishafungwa mali zimeisha?

Elimu ,Elimu ,Elimu - ENL 2015
 
kuna ulazima gani kuwaita kikaoni mabosi wawili wawili wa mkoa na wilaya yaani RC na DC, RAS na DAS, RMO na DMO maana hawa wote wanafanya majukumu yanayofanana.! wakati ingetosha bosi wa mkoa akawakilisha wa chini yake kisha akawapa feedback waliochini yake kimadaraka.!
 
Serikali imenunua virtual equipments kila ofisi ya RC ili kupunguza gharama za kufanya mikutano physically.
Kwanini hawatumii vifaa hivyo kufanya huu mkutano ili kupunguza gharama?
Ni mojawapo ya matumizi mabovu ya fedha za umma kuwakusanya hao wote hapo Dodoma .
Mikutano kama hii ni sehemu ya upigaji manake posho na gharama za mafuta zitakazotumika ni nyingi sana
 
Sio kila kitu lazima kizungumzwe mitandaoni
 
Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?​

View attachment 3083254
Hayo mafunzo ya kawaida na siyo ya Mwigulu. Sheria ya manunuzi inasimamiwa na PPRA. Yeye atakuwa ameutwa kama mgeni rasmi tu ili kufungua mafunzo.
 
Mipango ya wizi wa kura tu. Sinaimani nawigulu hata chembe
 
Back
Top Bottom