Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Chadema ndo chama pekee Tanzania chenye Sera ambazo zimelenga kuivusha Tanzania na mtu pekee mwenye uwezo kuongoza Tanzania mpya ni Lissu pekee yake kuna mwingine anajigamba anapambana na ufisadi wakati yeye amejenga uwanja wa ndege wa Kimataifa nyumbani kwake mpaka mbuga ya wanyama amehamishia nyumbani yake ni ulevi wa madaraka #NIYEYE
Hivi yule mwenye roho mbaya leo anahutubia wapi?
 
Mliopo Dodoma tupeni mrejesho/update I'll tujue pia kituo gani cha tv kitarusha live
 
Vipi? Lissu haongozani na wasanii wowote?
Mliopo Dodoma mtuhabarishe.
 
Updates plz. Maana huku kwetu hata umeme hatuna.
 
daah uitikio ni mdogo hadi saa 14:53 eneo la shule ya uhuruView attachment 1558159View attachment 1558160
IMG_20200904_144856_488.jpg
 
We kijana akili yako ni ndogo sana, inaelekea hata kuelimishwa kwako kunakofanyika hapa JF ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Sasa hivi Lissu anazunguka kuzindua kampeni kwa kanda kisha muziki wa wilaya kwa wilaya utafuata.
Vipi Madilu System wenu pumzi imekata? Maana nasikia anapigishwa magoti jukwaani na vijana wa Singeli naye anaingia king mzimamzima!
Anacheza na wahuni wa Mbagala?!!

emoj ya kucheka iko wapi nicheke mm
 
WanaJF

Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.

Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu

Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu

Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28

Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Tupia na picha Molemo.
 
Kila la heri wana wa idodomia kumpokea Rais Tundu Lissu
 
WanaJF

Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.

Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu

Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu

Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28

Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Are you sure what are talking? Hivi kwa akili zako zilivyo ndogo uwingi wa watu ndio ushindi? Sasa kwa taarifa yako kwenye huo uwingi wako wapiga kura ni 50% tu, na 50% iliyobaki 20% ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 17 na miezi. Na waliobaki hawajajiandikisha.
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....Kwa sasa anazindua Kampeni zake kwenye Kanda Mbalimbali. Usiwe na wasiwasi inakuja kibunga cha Nyumba kwa Nyumba ambayo sisi wengine tunaendelea nayo, baadaye Kijiji kwa kijiji, kata kwa kata....Safari hii kazi mnayo....tumetawanyika kama siafu kunadi sera bora kabisa kuwahi kutokea za CDM
Jibu murua hili. I like it
 
WanaJF

Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.

Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu

Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu

Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28

Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Nyie Molemo nyie nina hasira na nyie? Inakuwaje kitengo chenu cha habari kinapwaya namna hii mpaka tunachekwa na mataahira ya Lumumba? Mnashindwa hata kumtengenezea visibility mgombea wetu? Sijaona banner hata moja ya mh. Lissu nini maana yake? Natoa tena ushauri wa bure, tengenezeni picha nyingi za Lissu zisambazwe kwa wagombea ubunge na udiwani kila mmoja awe nayo anapokuwa anahutubia mkutano wa kampeni ameibebele kabisa na anawaelewesha wananchi nini cha kufanya siku ya kupiga kura. Vijijini raia hawamjui Lissu kwa sura. Kuhusu live stream nini kimewashinda? Mnashindwa hata kutumia vijana waliomaliza IT ambao wako mitaani hawana kazi mkawaajiri kwa miezi hii miwili wakawa busy kwenye youtube na kadhalika? Mwambieni mwenyekiti asibanie hiyo hela aliyokuwa anawakata wabunge wetu kwa miaka yote mitano! Uchaguzi ni gharama lazima tukubali kuingia gharama! Safari hii tukishindwa kumtoa mkoloni mweusi bora mimi nirudi tu nikajiunge nayo!
 
Kwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu
Na haya ndio yanapelekea ITV kuwa supa brand huku tiibiisii ikiendelea kutafuna ruzuku za wananchi pasipo manufaa wala kujiendesha!!! Mpaka leo wana vichaneli viwili aibu kabisa yani wanazidiwa hata na Azam wenye chanel nyingi
 
Are you sure what are talking? Hivi kwa akili zako zilivyo ndogo uwingi wa watu ndio ushindi? Sasa kwa taarifa yako kwenye huo uwingi wako wapiga kura ni 50% tu, na 50% iliyobaki 20% ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 17 na miezi. Na waliobaki hawajajiandikisha.
Ila Wa mboga mboga wale wote wamejiandiksha?
Ukiwa CCM unakuwa na roho mbaya sikjui kwa nin!
 
WanaJF

Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.

Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu

Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu

Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28

Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
tatizo mkiambiwa mlete na picha za matukio mnatuletea picha za mikutano ya lowassa huyo tu ndiyo alikuwa na uwezo wa kujaza nyomi za watu huyo tobo wenu hana lolote
 
Back
Top Bottom