Wanasubiria picha za kuokoteleza na kuhariri ili waonekane wanaungwa mkono kumbe utopolo tu.Picha mnatuma sa ngap?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasubiria picha za kuokoteleza na kuhariri ili waonekane wanaungwa mkono kumbe utopolo tu.Picha mnatuma sa ngap?
Huyu Mbeligiji ndiyo ameahidi hivyo, kama anapenda hayo mambo aanze kwanza kufyatuliwa yeye mtaro.Maraisi wa safari hii ahadi zao kiboko, kuna mmoja kahaidi kuhalalisha Ushoga, mwingine kahaidi kutoa Ubwabwa!!
Huyu jamaa kampeni zake anafanyia mijini pekee
Tuma picha acha propaganda kwa taarifa Mkoa wa Dodoma mzima hampati hata Diwani mmoja.WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Kwa nini? Au unaona wagogo wengi hawajielewi?Aibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
We kijana akili yako ni ndogo sana, inaelekea hata kuelimishwa kwako kunakofanyika hapa JF ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.Huyu jamaa kampeni zake anafanyia mijini pekee
Na sio ajabu kwa tutakayo yaona ya Taifa letu kurudisha heshima duniani tunaweza kujikuta tunapiga magoti na kumuuliza Mungu, "kwanini hukutupatia huyu MTU tokea awamu ya pili baada ya Nyerere?"Huyo ndiye rais wetu wa awamu ya sita
2015 hizo bendera hazikua moyoni? Maana zilikua zinapepea mpaka mitaaniHizo bendera za CCM wanazolazimishwa Wafungwa wa kubambikiwa kesi wakazifunge
Bendera za CHADEMA ni kama Mauaridi zinapeperushwa mioyoni mwetu na hizo unazoziona ni Chache zisikudanganganye
kumbe unachungulizia dirishani?Bado tu??
Tunapigwa vita ya wazi na vyombo vya dola tunazuiwa kufanya siasa Kikwete alikuwa ni mwanademokrasia kwelikweli2015 hizo bendera hazikua moyoni? Maana zilikua zinapepea mpaka mitaani
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
jirani na uwanja wa JAMUHURI STADIMViwanja vya uhuru vipo maeneo gani Dodoma?
Nashukuru.jirani na uwanja wa JAMUHURI STADIM
Hata Wewe unatakiwa kuedit hii coment yako!Chama cha JF,
Studio wanaendelea kutafuta picha nyomi za Lowasa, kisha kuzi edit na kuzituma whatsap groups kwa maelezo, " Tundu Lissu Afrika Dodoma"!
Hakika mkuuNa sio ajabu kwa tutakayo yaona ya Taifa letu kurudisha heshima duniani tunaweza kujikuta tunapiga magoti na kumuuliza Mungu, "kwanini hukutupatia huyu MTU tokea awamu ya pili baada ya Nyerere?"
We uzao wa yule ibilisi kwanini unapenda kuombea wengine mabaya badala ya mema? Aibu unayosema mnataka tena kummaliza kwa risasi au? Anyway, uzao wa 'yule mwovu' huwa wanawaza damu tu siku zoteAibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
Delete ccm Oct 28Uongo mtakatifu kabisa. mimi nipo Dodoma mbona sijaona hizo pilikapilika za maandamano. Kwanza, hakuna bendera hata moja za Chadema mji mzima umejaa bendera za CCM. Halafu nahisi uchaguzi huu Chadema hata pesa ya kununulia bendera hamna.