Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Aibu yao maccmCdm haijawahi kufeli popote, siyo kama ccm inayo tembelea nyota ya waimba taarabu na bongo fleva ( wafuga free masons)
Hivi yule mwenye roho mbaya leo anahutubia wapi?Chadema ndo chama pekee Tanzania chenye Sera ambazo zimelenga kuivusha Tanzania na mtu pekee mwenye uwezo kuongoza Tanzania mpya ni Lissu pekee yake kuna mwingine anajigamba anapambana na ufisadi wakati yeye amejenga uwanja wa ndege wa Kimataifa nyumbani kwake mpaka mbuga ya wanyama amehamishia nyumbani yake ni ulevi wa madaraka #NIYEYE
Mkuu inabidi uwe unaenda kwenye mikutano ya Hashim RungweMsosi upo?
Asante kwa update.daah uitikio ni mdogo hadi saa 14:53 eneo la shule ya uhuruView attachment 1558159View attachment 1558160View attachment 1558161
We kijana akili yako ni ndogo sana, inaelekea hata kuelimishwa kwako kunakofanyika hapa JF ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa.
Sasa hivi Lissu anazunguka kuzindua kampeni kwa kanda kisha muziki wa wilaya kwa wilaya utafuata.
Vipi Madilu System wenu pumzi imekata? Maana nasikia anapigishwa magoti jukwaani na vijana wa Singeli naye anaingia king mzimamzima!
Anacheza na wahuni wa Mbagala?!!
Tupia na picha Molemo.WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Na JPM naye ahojiwe. Ili tuwapime nani ni nani?Kwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu
Poor prediction. Chota maji baridi unywe.Aibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
Are you sure what are talking? Hivi kwa akili zako zilivyo ndogo uwingi wa watu ndio ushindi? Sasa kwa taarifa yako kwenye huo uwingi wako wapiga kura ni 50% tu, na 50% iliyobaki 20% ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 17 na miezi. Na waliobaki hawajajiandikisha.WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Jibu murua hili. I like itJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza....Kwa sasa anazindua Kampeni zake kwenye Kanda Mbalimbali. Usiwe na wasiwasi inakuja kibunga cha Nyumba kwa Nyumba ambayo sisi wengine tunaendelea nayo, baadaye Kijiji kwa kijiji, kata kwa kata....Safari hii kazi mnayo....tumetawanyika kama siafu kunadi sera bora kabisa kuwahi kutokea za CDM
Nyie Molemo nyie nina hasira na nyie? Inakuwaje kitengo chenu cha habari kinapwaya namna hii mpaka tunachekwa na mataahira ya Lumumba? Mnashindwa hata kumtengenezea visibility mgombea wetu? Sijaona banner hata moja ya mh. Lissu nini maana yake? Natoa tena ushauri wa bure, tengenezeni picha nyingi za Lissu zisambazwe kwa wagombea ubunge na udiwani kila mmoja awe nayo anapokuwa anahutubia mkutano wa kampeni ameibebele kabisa na anawaelewesha wananchi nini cha kufanya siku ya kupiga kura. Vijijini raia hawamjui Lissu kwa sura. Kuhusu live stream nini kimewashinda? Mnashindwa hata kutumia vijana waliomaliza IT ambao wako mitaani hawana kazi mkawaajiri kwa miezi hii miwili wakawa busy kwenye youtube na kadhalika? Mwambieni mwenyekiti asibanie hiyo hela aliyokuwa anawakata wabunge wetu kwa miaka yote mitano! Uchaguzi ni gharama lazima tukubali kuingia gharama! Safari hii tukishindwa kumtoa mkoloni mweusi bora mimi nirudi tu nikajiunge nayo!WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Na haya ndio yanapelekea ITV kuwa supa brand huku tiibiisii ikiendelea kutafuna ruzuku za wananchi pasipo manufaa wala kujiendesha!!! Mpaka leo wana vichaneli viwili aibu kabisa yani wanazidiwa hata na Azam wenye chanel nyingiKwa mara ya kwanza jana ITV imevunja rekodi ya kutazamwa , waliangaliwa na mamilioni ya watu duniani kutokana na mahojiano yao na Lissu
Ila Wa mboga mboga wale wote wamejiandiksha?Are you sure what are talking? Hivi kwa akili zako zilivyo ndogo uwingi wa watu ndio ushindi? Sasa kwa taarifa yako kwenye huo uwingi wako wapiga kura ni 50% tu, na 50% iliyobaki 20% ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 17 na miezi. Na waliobaki hawajajiandikisha.
Waweke picha hata mkutano haujaanza? Wewe tako nini?Picha please vinginevyo mnasubiria picha za kuokoteleza.
tatizo mkiambiwa mlete na picha za matukio mnatuletea picha za mikutano ya lowassa huyo tu ndiyo alikuwa na uwezo wa kujaza nyomi za watu huyo tobo wenu hana loloteWanaJF