Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Huyo balaa kanywa bia 7 na nusu! Naona kamzidi mwenyekiti kwa mbali Sana. Asijeanguka akasingizia serikali imemkanyagakanyaga.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mbona hamtangazi kama anakuja sehemu? Jamaa zangu wengi waliopo Dodoma hata hawajui kuwa kuna tukio hilo, mna shida gani?
Wewe ambaye haupo Dodoma una taarifa za mkutano wa kampeni ila unasema waliopo Dodoma hawana taarifa.

Wewe ulipataje taarifa hadi uone watu wa Dodoma hawana uwezo wa kupata taarifa kama ulivyopata wewe kima wa kijani.

Hivi unatumia akili za namna gani kufanya uchakataji wa mawazo yako ?
 
Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.
Hata ukimwambia habari za Lissu na Salum Mwalimu hawezi kukuelewa hata kidogo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
LISU ameanza kuongea na ameanza na suala la KUPIGWA KWAKE RISASI
 
Kwani wapiga kura mnao mifukoni kiasi kwamba mnafahamu hata asilimia ya kura Wagombea watapigiwa ?
Tulio field tunajua yote,

Walio mitamdaoni wanaona toafauti

Ndio kusema Lisu ni rais wa mitandaoni ila rais wa tz ni JPM.
 
We uzao wa yule ibilisi kwanini unapenda kuombea wengine mabaya badala ya mema? Aibu unayosema mnataka tena kummaliza kwa risasi au? Anyway, uzao wa 'yule mwovu' huwa wanawaza damu tu siku zote
Jina lenyewe stroke, ni wa kumhurumia tu
 
Mimi huwa nafuatilia kwa you tube, chadema media. Ila nilipo share nao wakaniuliza kwani huyu mkuu yupo Dom Leo? Ni hivyo tu boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…