Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Mkutano wa Lisu Dodoma umedodaKila la heri wana wa idodomia kumpokea Rais Tundu Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkutano wa Lisu Dodoma umedodaKila la heri wana wa idodomia kumpokea Rais Tundu Lissu
yaani wana matatizo lakini hawajijui kama wana matatizo wanaamini kabisa wanaenda ikulu si utaahira huo jamaniSubiri waje wakutafutie picha ambayo wamepiga huku wamechuchumaa halafu usikie hizo tambo za Lissu aisimamisha Dodoma, Lissu aisambaratisha CCM Dodoma, hawa jamaa watakuwa na stress sana.
Inatia moyo kwa kweli.viongozi wanaendelea kuongeaView attachment 1558330
Mkutano umedoda hadi hurumasaa 15:49 imetangazwa muda wowote LISU atawasiliView attachment 1558238
Nipo hapa. Wengine wameenda kununua maji.Dodoma mbona hakuna watu mkutano wa lissu?? Nini kimetokea??View attachment 1558320
Ubwabwa wake anaweka chumvi nyingi mno
Huyo balaa kanywa bia 7 na nusu! Naona kamzidi mwenyekiti kwa mbali Sana. Asijeanguka akasingizia serikali imemkanyagakanyaga.wenzako wako TCRA wanapanga namna ya kuikomesha ITV wewe unakenua tu meno ! zile DK 45 zimeharibu ccm kwa 96% , si mchezo .
Nilikuwa pub fulani hivi muda ule , kuna mtu kanywa bia 7 kwa nusu saa tu bila kujielewa kutokana na nondo za Lissu , uzuri ni kwamba alipoletewa bili hakubisha
Wewe ambaye haupo Dodoma una taarifa za mkutano wa kampeni ila unasema waliopo Dodoma hawana taarifa.Hivi mbona hamtangazi kama anakuja sehemu? Jamaa zangu wengi waliopo Dodoma hata hawajui kuwa kuna tukio hilo, mna shida gani?
Hata ukimwambia habari za Lissu na Salum Mwalimu hawezi kukuelewa hata kidogo.Leo hii mwananchi wa buyenzi au yule wa ihembe ndani anahangaika na kutafuta angalau mlo mmoja tu wa siku unamwambia habari za Dream liner, Bombardier hawezi kukuelewa.
Anakubalika na nyumbu tuu. Subirini 1%kama ataambulia na huyo poyoyo wake Salum Mwalimu.Anakubalika na wasomi na wasiyo wasomi
1% atapata mkuu lakini hawezi kuvuka 20%Anakubalika na nyumbu tuu. Subirini 1%kama ataambulia na huyo poyoyo wake Salum Mwalimu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
SAY IT LOUDHuyo ndiye rais wetu wa awamu ya sita
1% atapata mkuu lakini hawezi kuvuka 20%
Tulio field tunajua yote,Kwani wapiga kura mnao mifukoni kiasi kwamba mnafahamu hata asilimia ya kura Wagombea watapigiwa ?
Jina lenyewe stroke, ni wa kumhurumia tuWe uzao wa yule ibilisi kwanini unapenda kuombea wengine mabaya badala ya mema? Aibu unayosema mnataka tena kummaliza kwa risasi au? Anyway, uzao wa 'yule mwovu' huwa wanawaza damu tu siku zote
Mimi huwa nafuatilia kwa you tube, chadema media. Ila nilipo share nao wakaniuliza kwani huyu mkuu yupo Dom Leo? Ni hivyo tu bossWewe ambaye haupo Dodoma una taarifa za mkutano wa kampeni ila unasema waliopo Dodoma hawana taarifa.
Wewe ulipataje taarifa hadi uone watu wa Dodoma hawana uwezo wa kupata taarifa kama ulivyopata wewe kima wa kijani.
Hivi unatumia akili za namna gani kufanya uchakataji wa mawazo yako ?
mwisho wa siku atasema kaibiwa kuraHuyu jamaa kampeni zake anafanyia mijini pekee