Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Hiyo janja yenu ya Kusubiri kimalizike kila kitu ndo muanze kutupia picha na video za kuungaunga mnatukatisha tamaa tunaotaka kufuatilia mbashara kule YouTube mwanzo mwisho
Kwani umeombwa ufuatilie mbashara ?kama unalalamika picha siyo zenyewe basi nenda mwenyewe kwenye mikutano utuletee
 
kwani umeombwa ufuatilie mbashara ?kama unalalamika picha siyo zenyewe basi nenda mwenyewe kwenye mikutano utuletee ,mbuzi katoliki wewe
Asante kamanda kwa kumpa makavu, jiandae kushusha zigo jingine la matusi siku mgomea wenu akiambulia 3% ya kura!
 
Nilichogundua mkuu upo kwaajili ya kuwachefua ccm na siyo ukweli hivi kweli dodoma kuna masai wengi hivi ila ccm umewapatia
Nakukaribisha ubwabwa huku kwa raisi ajaye HASHIMU RUNGWE
DOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sana
 
DOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sana
Mkuu nipo dodoma na kwenye mkutano nilipita hakuna kitu kama hicho
Nakukumbusha kufanya chaguo sahihi HASHIMU RUNGWE
 
Hapo ndio makao makuu ya nchi
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?

Sababu za kutompa kura zetu mgombea wa ccm ni hizi zifuatazo.

1. Mauaji ya raia wasio Na hatia,

2. Umeendesha nchi kikabila na kikanda,

3. Umeshiriki katika ufisadi wa kununua ndege nk kama sio kweli tupe mikataba ya ununuzi.

4. Umewatesa sana waliokukosoa mfano hai TUNDU LISU na MDUDE CHADEMA.
 
Aibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.

Leo nilikuwa Arusha kwa biashara zangu, waziri mkuu alikuja hapa yaani ni aibu. Japo mimi sio muumini wa nyom zaidi ya sera. Nadhani wasanii walikuwa ni wachache.
 
WanaJF

Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma...
Mitano ya utawala wa IMLA inatosha, tunataka utawala utakaotuletea KATIBA YA WANANCHI.
 
Mkuu nipo dodoma na kwenye mkutano nilipita hakuna kitu kama hicho
Nakukumbusha kufanya chaguo sahihi HASHIMU RUNGWE
mkuu RUNGWE kwa sera yake ya ubwabwa , inatafasiri kubwa japo watu tumeichukulia poa, kwa wepesi zaidi anamanisha hakuna kufanya kazi na umefunga mkanda, shibe ndo kila kitu thats kutwa nzima tunaangaika ili familia zetu zipate shibe na shibe huleta furaha na ufanisi katika utendaji kazi.

Mfano wewe mkuu kama utakua ni tajiri wakati famili yako , ndugu zako , wazazi wako wanakufa njaa je huo utajili utakusaidia nini ? binafsi nafikili sera moja ya ubwabwa imezidi sera zote za chama tawala ukiitafasili vizuri, mkuu
 
Rungwe anataka tuzidi kuwa vibonge😂😂😂
 
Dodoma leo

My take: Magufuli na wasaidizi wake kwa hapa wanazidi kujipalia makaa.
 
Hivi dodoma ina watumishi wangapi?

Mwambie atafute suruhisho la mikutano yake kudoda asilete ngonjera hapa
Si watumishi tu, kasema hata bodaboda wamezuiwa kumpokea. Sijui bodaboda wanamilikiwa na nani huyo wa kuwapa amri kama hizo!
 
Wanamchi wameamua hakuna mtu kurudia miaka 5 tena.
 
DOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sana
Jamatin imebomolewa lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…