Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Nilichogundua mkuu upo kwaajili ya kuwachefua ccm na siyo ukweli hivi kweli dodoma kuna masai wengi hivi ila ccm umewapatia
Nakukaribisha ubwabwa huku kwa raisi ajaye HASHIMU RUNGWE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichogundua mkuu upo kwaajili ya kuwachefua ccm na siyo ukweli hivi kweli dodoma kuna masai wengi hivi ila ccm umewapatia
Kwani umeombwa ufuatilie mbashara ?kama unalalamika picha siyo zenyewe basi nenda mwenyewe kwenye mikutano utuleteeHiyo janja yenu ya Kusubiri kimalizike kila kitu ndo muanze kutupia picha na video za kuungaunga mnatukatisha tamaa tunaotaka kufuatilia mbashara kule YouTube mwanzo mwisho
Asante kamanda kwa kumpa makavu, jiandae kushusha zigo jingine la matusi siku mgomea wenu akiambulia 3% ya kura!kwani umeombwa ufuatilie mbashara ?kama unalalamika picha siyo zenyewe basi nenda mwenyewe kwenye mikutano utuletee ,mbuzi katoliki wewe
Shikamo Dodoma ,shikamo chadema, shikamo Lissu, KIMBUNGA LISSU 2020,
DOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sanaNilichogundua mkuu upo kwaajili ya kuwachefua ccm na siyo ukweli hivi kweli dodoma kuna masai wengi hivi ila ccm umewapatia
Nakukaribisha ubwabwa huku kwa raisi ajaye HASHIMU RUNGWE
Mkuu nipo dodoma na kwenye mkutano nilipita hakuna kitu kama hichoDOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sana
Kwanini mgombea wa ccm hastahili kupewa tena kura zetu?Hapo ndio makao makuu ya nchi
Aibu ya mwaka inakwenda kuwakumba Chadema hapo Dodoma.
WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma...
mkuu RUNGWE kwa sera yake ya ubwabwa , inatafasiri kubwa japo watu tumeichukulia poa, kwa wepesi zaidi anamanisha hakuna kufanya kazi na umefunga mkanda, shibe ndo kila kitu thats kutwa nzima tunaangaika ili familia zetu zipate shibe na shibe huleta furaha na ufanisi katika utendaji kazi.Mkuu nipo dodoma na kwenye mkutano nilipita hakuna kitu kama hicho
Nakukumbusha kufanya chaguo sahihi HASHIMU RUNGWE
Rungwe anataka tuzidi kuwa vibonge😂😂😂mkuu RUNGWE kwa sera yake ya ubwabwa , inatafasiri kubwa , japo watu tumeichukulia poa, kwa wepesi zaidi anamanisha hakuna kufanya kazi na umefunga mkanda , shibe ndo kila kitu thats kutwa nzima tunaangaika ili familia zetu zipate shibe na shibe huleta furaha na ufanisi katika utendaji kazi, mfano wewe mkuu kama utakua ni tajiri wakati famili yako , ndugu zako , wazazi wako wanakufa njaa je huo utajili utakusaidia nini , ? binafsi nafikili sera moja ya ubwabwa imezidi sera zote za chama tawala ukiitafasili vizuri, mkuu
Hivi dodoma ina watumishi wangapi?Dodoma leo
View attachment 1558624
My take: Magufuli na wasaidizi wake kwa hapa wanazidi kujipalia makaa.
Si watumishi tu, kasema hata bodaboda wamezuiwa kumpokea. Sijui bodaboda wanamilikiwa na nani huyo wa kuwapa amri kama hizo!Hivi dodoma ina watumishi wangapi?
Mwambie atafute suruhisho la mikutano yake kudoda asilete ngonjera hapa
Lisu anatapatapa!Si watumishi tu, kasema hata bodaboda wamezuiwa kumpokea. Sijui bodaboda wanamilikiwa na nani huyo wa kuwapa amri kama hizo!
WanaJF
Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu leo anatarajiwa kuzindua kampeni katika Kanda ya Kati mkoani Dodoma.
Rais huyo mtarajiwa wa Tanzania ataambatana na mgombea Mwenza Salum Mwalimu, Katibu Mkuu John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu
Tayari Kuna pilikapilika kubwa hapa jijini Dodoma kuhusu ujio wake na maandamano makubwa ya kumpokea na Mkutano wake katika Uwanja wa Uhuru unatarajiwa kuvunja Rekodi kwa wingi wa watu
Lissu ambaye Watanzania wamembatiza jina la 'Charismatic Leader' amekuwa akilakiwa na Maelfu kwa Malaki ya watu popote anakopita ikiashiria kuzoa wingi wa kura katika uchaguzi mkuu wa October 28
Tutaendelea kuwapa taarifa kwa kila kitakachoendelea
Aliyosema Mgombea Urais..
"Dodoma fikirieni 2017 watoto waliofukuzwa Chuo usiku, wanafunzi wa UDOM,wengine hawakuwa na mahali pa kwenda wakiwa kwa maelfu walipelekewa FFU usiku, Rais @MagufuliJP anasimama anasema hawatakiwi kuwa chuoni sababu ni vilaza, alisema hakusema?" Mhe @TunduALissu
"Wenye viwanda, watu wanaotegemewa kutengeneza ajira kwa ajili yetu, wamefilisiwa mali zao, wengine wamepatwa na presha wamekufa, nani wa kuwasemea hawa? " Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya @ChademaTz Mhe @TunduALissu
View attachment 1558468View attachment 1558469View attachment 1558471View attachment 1558472View attachment 1558474View attachment 1558475View attachment 1558476View attachment 1558477View attachment 1558478View attachment 1558479View attachment 1558480View attachment 1558481
Asante Mwaki pesile maana wanaongea pumba tu hawataki kurusha wanajua aibu yao.daah uitikio ni mdogo hadi saa 14:53 eneo la shule ya uhuruView attachment 1558159View attachment 1558160View attachment 1558161
Jamatin imebomolewa lini!DOM MKUU masai wengi sana kabla ya kubomolewa jamatin ungelifika pale ndo ungeshangaa , wanafanya ulinzi na kusuka wakina mama nywele pamoja nakuuza miti shamba , so hata hapo maeeneo ya jamhuri wapo wengi sana