Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Acha blah blah...Naona sindano imekuingia hasa
 
Ww ni msemaji wa tume? Sio vibaya pia Molemo akitolea ufafanuzi kama wamehakikishiwa kukuta ofisi ikiwa wazi.
Mkuu hv una mwamini kweli huyo mtu?? Huyo ni bia yangu ujue ..ratiba iko hvyo wala hiyo sikukuu haiwezi kuvuluga ratiba za NEC ...mpuuze tu huyo bia yangu
 
Police bado hawajatoa tamko kwamba wagombea waende peke yao sababu ya corona?

Pia saa nane nane ofisi zisije zikafungwa kusingizia kwamba ni Jmosi nusu siku ama ni public holiday.

Maana nchi hii kila hila yawezekana.

Go Lissu goooo...Rais wa wanyonge
 
Sijamsikia akidai kuwatetea wanyonge lakini wanyonge ni wale tu waliofanywa hivyo na Magufuli, Lissu anatetea Watanzania wote ikiwa pamoja na wewe unayeunga mkono juhudi ili tu upate uteuzi usiositahili.
 
nice advice
 
Hahaaa mtapata kazi sana mwaka huu kwa sababu lissu Ni mropokaji
Lissu hawezi kutofautisha maneno Kati ya kuongea na press,hadhara,bungeni au mahakamani yeye anarusha tu
Wiki ya kwanza tu ya kampeni mtajuta kumchagua lissu,mtamkumbuka Nyalandu

Hatuna chochote cha kumkumbuka Nyalandu, ila hatutaki kujikuta kwenye mazingira waliyoko ccm leo, kwamba hawana uwezo wowote wa kumkatalia rais mambo yasiyofaa, ama kumtaka atekeleze yenye tija na sio atatakayo tu.
 
Neno zuri kabisa. Chadema waongeze watumishi katika kitengo cha habari cha chama kwa kuweka vijana mahiri na wazoefu.
Watoe hata fursa za kujitolea (mradi wawape posho ya kujikimu) kwa vijana wengi kadri iwezekenavyo maana wapo vijana wengi wapenzi wa Chadema mtaani ambao awamu hii imewakatili ajira.
Kipindi hiki idara ya habari no muhimu sana hasa kwa vile vyombo vya habari vina maelekezo ya kuwabania. Na tovuti iongezewe uchangamfu kuwa vibe
 
Umegundua hilo leo? Mbona yuko hivyo muda wote. Nyie jipangeni kufuta kinyesi atachokuwa anakunya kwenye mikutano mna mfuata nyuma kusafisha.
Mdomo wake unahalisha sana.

Nipe tofauti ya Magufuli na Lisu kwenye matumizi ya mdomo. Kama Magufuli kaweza kuwa rais, hata Lisu ataweza maana mdomo haumzuii, ila hatutaki kuwa watetezi wa kauli zisizichujwa vizuri. Hii inatutofautisha na ccm, wao hawana uwezo wa kukumea au kuonya mwenendo wa kiongozi wao, lakini sisi tunaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…