NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
October 2020 uchaguzi lakini mpaka sasa wanyanyembe hamjajipanga kwenye kitengo cha habari?Tunashukuru Molemo kwa kuleta hii habari. Kuna uzito fulani kwenye kitengo cha habari cha cdm, kiasi kwamba kuna uzi humu jukwaani unaohimiza kitengo cha habari kuamka. Kuna ushauri pia kuhusu Tundu Lisu jinsi ya kufanya siasa zake bila kupoteza credibility yake. Ni vyema kama chama mkakaa na Lisu na kumfunda. Kuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake.
Mgombea wenu Lissu mpaka sasa hajajua aelekee wapi mpaka afundwe?
Hata ratiba za sikuu hamzijui?
Nyinyi hamna umakinifu hamuwezi kupewa nchi.