Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Hii ya Tanzania haina ubishi kwamba sisi ndio the best Afrika. Sasa vp kuhusu nchi zingine kama Rwanda, Uganda, Cameroon, Libya ya Gadaffi, etc
Lissu itakuwa alipigwa risasi na Wadeni wake au alikua anachukua wake za watu, ndiyo hayo matatizo kajisababishia!!
 
Hahaha hizo hasira watazionyesha kwa lissu kutokana na kusaliti Nchi yetu.
 
Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa hovyo hovyo.
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante Magufuli.
 
Rais Magufuli amekomesha rushwa na ufisadi.
 
Ndio Magufuli ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo.
 
Nonsense

Haya ndio tunaambiwa na African dictators.....

Eti Africa ina definition yake "African Democracy"...Haya yanayosema hivi yote ni madikteta ya Africa.

Tupo hapa kupokea definition ya African Democracy kutoka kwa Maafrican Dictators utegemee nini sasa?

Waseme ni "African Dictatorial Democracy"..

Majinga sana haya madikteta,hovyo kabisa...

Yapo hapa with moral authority kutupa definition ya democracy...fvck them all!
 
CHADEMA msimfananishe Rais Magufuli na vitu vya hovyo.
 
Maelezo mujarabu
 
Once a president forever a president...
President is the constitution itself!
President is parliament, Judiciary, police, army, everything!

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Does Africa have ........
 
Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.
 
Kwa jinsi Rais Magufuli alivyopambana na corona atashinda kwa 100%.
 
Wanaompinga Rais Magufuli ni mafisadi, majizi,wauza madawa ya kulevya na wapiga dili.
 
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Rafiki zetu wa CHADEMA mtaula wa chuya huu mwaka hampati hata mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…