cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Ushaonjeshwa Donati, unaweweseka sasa,LolHapana naelezea hali halisi ya mtaani vijana kupenda penda pesa za fasta ndo wanakimbilia kupakwa mafuta
Em tulizana. 😂😂😂😂

Hakuna faida kwenye forex hata kama una mtaji na akili. Hauwezi kuzishinda Banki kubwa , hedge funds na investment firms. Forex inalevya kama betting. Maana mwisho wa siku unalazimisha kumake hela kwenye. Forex wakati we mwenyewe unajua umepoteza hela nyingi huko.Sikumbuki kama Kuna mahali nimeiponda biashara ya forex. Kuna watu wanafanya na Wana pesa nawafahamu vizuri. Ila Ili kuweza kumaster ukafika level yao si chini ya miaka 3 ya kujifunza kwa vitendo na kwa bidii. Nashauri tu kijana ambaye Yuko chuo na anafanya vizuri asiache chuo Ili akafanye forex. Chuo miaka 3 utakuwa umemaliza. Forex unaweza kufanya ukiwa chuo.
hao ndo dawa yao,...kuanza kumchekea tena ni kuwaumiza wengine wasio na hatia, hizo hela peleka kwa madogo wengine huko , maana ni zamu yao,...Mkuu hao hawatakiwi kuendekezwa watajitambua kwa muda wao..... nina mtoto wa mjomba angu yeye soma soma yake hakuwa serious ni ubishoo na muziki tu ndo ishu zake... sasa hv amesota pale nyumbani na mambo yake ya miziki zaidi ya miaka mitano mpaka amekoma menyewe... juzi kati nimeambiwa ameokoka ameanza kuimba gospel...
Daaah astaghaffillah astaghaffillah 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 donat ndo ile ina kua ina mafuta alafu ina tobo hvi kati...Ushaonjeshwa Donati, unaweweseka sasa,Lol
Em tulizana. 😂😂😂😂
Hadi unajua umbo, asalaleeeeeeDaaah astaghaffillah astaghaffillah 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 donat ndo ile ina kua ina mafuta alafu ina tobo hvi kati...
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah wee una laana sana
Fanya ukatubu
Ahahaha Kwisha habari yangu dadek 😂😂😂🙏🙏🙏 ilw kiufupi mi sio wa hivo wallah tenaHadi unajua umbo, asalaleeeeee
Dogo kwishaaaaa, 😂😂😂😂😂
Thubutuuu,Ahahaha Kwisha habari yangu dadek 😂😂😂🙏🙏🙏 ilw kiufupi mi sio wa hivo wallah tena
Siwezi jaribu kabisa.. ila kuna mtoto huyo wa 2k mshenzi kabisa vitoto vya buza hovyo kabisa aiseee...Thubutuuu,
Huyu anatakiwa ataje neno FOREX mara 50 alafu asameheweMiaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa miaka 3 halafu ndio ataendelea. Alipoulizwa kwanini kasimamishwa chuo akasema hakufanya project ndio maana amesimamishwa. Kwa hiyo akasema mpango wake kwa miaka hiyo mitatu atafanya biashara ya forex.
Bahati nzuri mimi nikawa nimetembelea chuoni kwake Mbeya huko. Nikaongea na uongozi nikawaambia kuna kijana wetu amesimamishwa chuo kwa miaka mitatu, imekuwaje? Walimu wakasema matokeo hayajatoka bado, huyo kijana amejuaje kuwa amesimamishwa chuo?
Lakini wakakubali kuwa ni kweli kijana hakufanya project, na usipofanya project unakuwa umedisco na hauruhusiwi kuomba tena chuo upya (Kuanza mwaka wa kwanza) mpaka baada ya miaka mitatu.
Na wakasema usipofanya project kama una sababu za msingi unareport tu kwa mwalimu wa somo unarudia, kama umekosa hela za mahitaji (vitendea kazi) ya project, na ikathibitika hauna uwezo, unaweza kuomba wakakusamehe kulipa ukafanya project kwa kutumia vifaa ambavyo huwa vinabaki kwa wenzio.
WALIMU WAKAKUBALIANA KWA PAMOJA KUWA KIJANA WETU HATAKI KUENDELEA TU NA CHUO, KADANGANYIKA NA STORI ZA MITANDAONI ZA BIASHARA YA FOREX.
Basi nikamrudishia jibu mama yake. Ndugu wakamuuliza kijana mtaji wa biashara ya forex anao? Akasema anaomba ndugu zake wamchangie milioni mbili (2,000,000) apate mtaji. Ndugu wakaona dogo anafanya mzaha. Kwani kufanya biashara ya forex ni lazima uache chuo?
Mama yake singo maza kamlea kwa shida toka mdogo. Baba yake yupo hai ila hajawahi kuishi nae. Anavoenda kuanza chuo mama yake alihaso sana kupata hiyo hela ya kuanzia, mpaka aliwekwa na ndani (lockup) kwa kushindwa kulipa mkopo ambao ndio alimpa dogo akaanze chuo (Mkopo wa HESLB huwa unachelewa kutoka, lazima uwe na pesa ya mahitaji muhimu mwanzo).
Basi ndugu wakakubaliana dogo apewe kishamba (ni wachaga) alime ili apate hizo milioni mbili akafanye hiyo biashara ya forex. Basi wakamtafuta baba yake (Ambaye naye alishakatiwaga kishamba na baba yake) wakamwambia amgawie mwanae sehemu yake ya ardhi alime apate mtaji wa biashara.
Dogo akapewa kishamba chake. Kwani alilima sasa!? 😀😀😀😀. Akaona life gumu akaenda Dar, amejaribu vibarua kibao mpaka saidia fundi kwenye ujenzi, kachemka.
Sasa hivi anaomba asaidiwe arudi chuo akaanze mwaka wa kwanza! Aliacha chuo akiwa anaingia mwaka wa tatu na akiwa anapata mkopo kwa asilimia 100.
Ya mwamposa au?Ahahahaha ndio watu kama hawa huwa wanapakwa mafuta
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...AsanteniYa mwamposa au?
Asiidhalilishe Forex.... Huyo ni kilasa tu aliyefeli chuo, asiisingizie ForexMiaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa miaka 3 halafu ndio ataendelea. Alipoulizwa kwanini kasimamishwa chuo akasema hakufanya project ndio maana amesimamishwa. Kwa hiyo akasema mpango wake kwa miaka hiyo mitatu atafanya biashara ya forex.
Bahati nzuri mimi nikawa nimetembelea chuoni kwake Mbeya huko. Nikaongea na uongozi nikawaambia kuna kijana wetu amesimamishwa chuo kwa miaka mitatu, imekuwaje? Walimu wakasema matokeo hayajatoka bado, huyo kijana amejuaje kuwa amesimamishwa chuo?
Lakini wakakubali kuwa ni kweli kijana hakufanya project, na usipofanya project unakuwa umedisco na hauruhusiwi kuomba tena chuo upya (Kuanza mwaka wa kwanza) mpaka baada ya miaka mitatu.
Na wakasema usipofanya project kama una sababu za msingi unareport tu kwa mwalimu wa somo unarudia, kama umekosa hela za mahitaji (vitendea kazi) ya project, na ikathibitika hauna uwezo, unaweza kuomba wakakusamehe kulipa ukafanya project kwa kutumia vifaa ambavyo huwa vinabaki kwa wenzio.
WALIMU WAKAKUBALIANA KWA PAMOJA KUWA KIJANA WETU HATAKI KUENDELEA TU NA CHUO, KADANGANYIKA NA STORI ZA MITANDAONI ZA BIASHARA YA FOREX.
Basi nikamrudishia jibu mama yake. Ndugu wakamuuliza kijana mtaji wa biashara ya forex anao? Akasema anaomba ndugu zake wamchangie milioni mbili (2,000,000) apate mtaji. Ndugu wakaona dogo anafanya mzaha. Kwani kufanya biashara ya forex ni lazima uache chuo?
Mama yake singo maza kamlea kwa shida toka mdogo. Baba yake yupo hai ila hajawahi kuishi nae. Anavoenda kuanza chuo mama yake alihaso sana kupata hiyo hela ya kuanzia, mpaka aliwekwa na ndani (lockup) kwa kushindwa kulipa mkopo ambao ndio alimpa dogo akaanze chuo (Mkopo wa HESLB huwa unachelewa kutoka, lazima uwe na pesa ya mahitaji muhimu mwanzo).
Basi ndugu wakakubaliana dogo apewe kishamba (ni wachaga) alime ili apate hizo milioni mbili akafanye hiyo biashara ya forex. Basi wakamtafuta baba yake (Ambaye naye alishakatiwaga kishamba na baba yake) wakamwambia amgawie mwanae sehemu yake ya ardhi alime apate mtaji wa biashara.
Dogo akapewa kishamba chake. Kwani alilima sasa!? 😀😀😀😀. Akaona life gumu akaenda Dar, amejaribu vibarua kibao mpaka saidia fundi kwenye ujenzi, kachemka.
Sasa hivi anaomba asaidiwe arudi chuo akaanze mwaka wa kwanza! Aliacha chuo akiwa anaingia mwaka wa tatu na akiwa anapata mkopo kwa asilimia 100.
Arudishwe shuleMaforex wenzie wanasemaje Kwan