Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

Utoto kazi.

Wangu alidisco, akasingizia kachelewa kulipa ada wakati tulituma. Hadi tulipofuatilia ndio tukahadithiwa yoote yaliyosababisha abscond.

Akawa home tokea 2022, maisha magumu, hana karibu mabest waliokuwa wote wanaingia kwenye mitihani na vibomu hadi kudisco.

Kapata kakibarua, hata hivyo ni dei waka na tukawa tunasubiri aombe radhi, tujue mipango aliyonayo....haaana time!

Ikabidi kiutu uzima nimwambie arudi shule, hivyo ndio anasubiri aapply tuanze upya kulipa ada, bila hata mkopo.
 
Hakika watanzania wengi ni wajinga sana. Kukosa maarifa na uelewa katika maisha ndio chanzo cha umasikini na umbea. Sasa libaba lizima kama hili linakuja kuleta umbea wa mtoto wa nani sijui kaacha chuo si hatari hii jamani!!??

Usikute lina mke na watoto huko nyumbani. Ni bora ungeishia hukohuko kumpa ushauri huyo kijana kuliko kuleta umbea humu stupid.
 
Utakuwa unapenda sana umbea we jamaa. Kuna cha kufundisha watoto wako kuhusu maisha hapo. Kaacha chuo ili afanye forex wakati hiyo forex angeweza kufanya akiwa chuo hapo hapo. Inafanywa online hiyo kitu. Kwenye comments zooooote umeona umbea tu? Acha akili wazi, usiifungie kwenye box la umbea.
 
Pumbav ww pita kushoto hakuna aliekuita hapa
 
Back
Top Bottom