Sikumbuki kama Kuna mahali nimeiponda biashara ya forex. Kuna watu wanafanya na Wana pesa nawafahamu vizuri. Ila Ili kuweza kumaster ukafika level yao si chini ya miaka 3 ya kujifunza kwa vitendo na kwa bidii. Nashauri tu kijana ambaye Yuko chuo na anafanya vizuri asiache chuo Ili akafanye forex. Chuo miaka 3 utakuwa umemaliza. Forex unaweza kufanya ukiwa chuo.Kwenye andiko lako sijaona sehemu umesema huyo dogo alifanya biashara ya online forex trading maana hata mtaji hakuwanao aliishia kufanya vibarua na saidia fundi alafu unataka Kuja kupondea kitu ambacho kina exist toka mid 1990's sababu ya maendeleo ya technology na internet. Ungempa mtaji hata wa dollar 100 apate hasara ndo uje kusema aliacha chuo kwa sababu ya biashara kichaa.
Ngoja waje nimuunganishe naoMaforex wenzie wanasemaje Kwan
Una watu wa kumuongoza mkuu? Muunganishe nao basi. Milioni 2 kumpa mtu akajaribishe kama italiwa au vipi sio poa.Kwenye andiko lako sijaona sehemu umesema huyo dogo alifanya biashara ya online forex trading maana hata mtaji hakuwanao aliishia kufanya vibarua na saidia fundi alafu unataka Kuja kupondea kitu ambacho kina exist toka mid 1990's sababu ya maendeleo ya technology na internet. Ungempa mtaji hata wa dollar 100 apate hasara ndo uje kusema aliacha chuo kwa sababu ya biashara kichaa.
Mkuu hao hawatakiwi kuendekezwa watajitambua kwa muda wao..... nina mtoto wa mjomba angu yeye soma soma yake hakuwa serious ni ubishoo na muziki tu ndo ishu zake... sasa hv amesota pale nyumbani na mambo yake ya miziki zaidi ya miaka mitano mpaka amekoma menyewe... juzi kati nimeambiwa ameokoka ameanza kuimba gospel...huyo nyie mwacheni, kama muna madogo wengine hapo, komaeni na madogo, wasome vizuri,...achaneni na hilo lizee na maisha yake,...
Umekuaje siku hizi dogo? Mbna ushakua km mende. LolAhahahaha ndio watu kama hawa huwa wanapakwa mafuta
Mkuu usitutag tuheshimu watu wa forex tuko bize tunavuna pesa...😅Ngoja tuwa tag forex, ili waje watoe neno angalau 🥴🥴🥴🥴.
Tamaa mbayaMiaka kadhaa iliyopita mtoto (wa kiume) wa shemeji yangu , aliacha chuo akiwa ameshamaliza mwaka wa pili eti anataka kufanya biashara ya forex. (Kipindi hicho hata sielewi ndio wanafanyaje).
Ni kwamba, dogo alipotakiwa kwenda chuo hakwenda, nyumbani walipomuuliza akasema chuo amesimamishwa kwa miaka 3 halafu ndio ataendelea. Alipoulizwa kwanini kasimamishwa chuo akasema hakufanya project ndio maana amesimamishwa. Kwa hiyo akasema mpango wake kwa miaka hiyo mitatu atafanya biashara ya forex.
Bahati nzuri mimi nikawa nimetembelea chuoni kwake Mbeya huko. Nikaongea na uongozi nikawaambia kuna kijana wetu amesimamishwa chuo kwa miaka mitatu, imekuwaje? Walimu wakasema matokeo hayajatoka bado, huyo kijana amejuaje kuwa amesimamishwa chuo?
Lakini wakakubali kuwa ni kweli kijana hakufanya project, na usipofanya project unakuwa umedisco na hauruhusiwi kuomba tena chuo upya (Kuanza mwaka wa kwanza) mpaka baada ya miaka mitatu.
Na wakasema usipofanya project kama una sababu za msingi unareport tu kwa mwalimu wa somo unarudia, kama umekosa hela za mahitaji (vitendea kazi) ya project, na ikathibitika hauna uwezo, unaweza kuomba wakakusamehe kulipa ukafanya project kwa kutumia vifaa ambavyo huwa vinabaki kwa wenzio.
WALIMU WAKAKUBALIANA KWA PAMOJA KUWA KIJANA WETU HATAKI KUENDELEA TU NA CHUO, KADANGANYIKA NA STORI ZA MITANDAONI ZA BIASHARA YA FOREX.
Basi nikamrudishia jibu mama yake. Ndugu wakamuuliza kijana mtaji wa biashara ya forex anao? Akasema anaomba ndugu zake wamchangie milioni mbili (2,000,000) apate mtaji. Ndugu wakaona dogo anafanya mzaha. Kwani kufanya biashara ya forex ni lazima uache chuo?
Mama yake singo maza kamlea kwa shida toka mdogo. Baba yake yupo hai ila hajawahi kuishi nae. Anavoenda kuanza chuo mama yake alihaso sana kupata hiyo hela ya kuanzia, mpaka aliwekwa na ndani (lockup) kwa kushindwa kulipa mkopo ambao ndio alimpa dogo akaanze chuo (Mkopo wa HESLB huwa unachelewa kutoka, lazima uwe na pesa ya mahitaji muhimu mwanzo).
Basi ndugu wakakubaliana dogo apewe kishamba (ni wachaga) alime ili apate hizo milioni mbili akafanye hiyo biashara ya forex. Basi wakamtafuta baba yake (Ambaye naye alishakatiwaga kishamba na baba yake) wakamwambia amgawie mwanae sehemu yake ya ardhi alime apate mtaji wa biashara.
Dogo akapewa kishamba chake. Kwani alilima sasa!? 😀😀😀😀. Akaona life gumu akaenda Dar, amejaribu vibarua kibao mpaka saidia fundi kwenye ujenzi, kachemka.
Sasa hivi anaomba asaidiwe arudi chuo akaanze mwaka wa kwanza! Aliacha chuo akiwa anaingia mwaka wa tatu na akiwa anapata mkopo kwa asilimia 100.
Hapana naelezea hali halisi ya mtaani vijana kupenda penda pesa za fasta ndo wanakimbilia kupakwa mafutaUmekuaje siku hizi dogo? Mbna ushakua km mende. Lol
Ila naona mmemtenga dogo, mpaka anaomba msaada, fanyeni jambo 😅😅,Mkuu usitutag tuheshimu watu wa forex tuko bize tunavuna pesa...😅
Heading inasema hivyo "dogo aliacha chuo afanye biashara ya forex! Kwa ataesoma juu juu ataona anguko la dogo ni kutokana na forex wakati hata kulima pia alishindwa au angelima na bado angeangukia pua kwenye mavuno.Sikumbuki kama Kuna mahali nimeiponda biashara ya forex. Kuna watu wanafanya na Wana pesa nawafahamu vizuri. Ila Ili kuweza kumaster ukafika level yao si chini ya miaka 3 ya kujifunza kwa vitendo na kwa bidii. Nashauri tu kijana ambaye Yuko chuo na anafanya vizuri asiache chuo Ili akafanye forex. Chuo miaka 3 utakuwa umemaliza. Forex unaweza kufanya ukiwa chuo.
Sikumbuki kama Kuna mahali nimeiponda biashara ya forex. Kuna watu wanafanya na Wana pesa nawafahamu vizuri. Ila Ili kuweza kumaster ukafika level yao si chini ya miaka 3 ya kujifunza kwa vitendo na kwa bidii. Nashauri tu kijana ambaye Yuko chuo na anafanya vizuri asiache chuo Ili akafanye forex. Chuo miaka 3 utakuwa umemaliza. Forex unaweza kufanya ukiwa chuo.
Moja kati ya ushauri bora kabisaHuyu inabidi umuache ahangaieke mtaani maana hata chuo hakitamsaidia. Mpe ushauri achangamke na ajaribu kila mahali kuanzia ufundi mpaka kilimo. Ajitafute kila sekta asibweteke,huko kwa kufanya na kutenda atakuja kujua pesa inatafutwaje. Akishajua ndipo munaweza kumkopesha na kumkopesha awe tayari ana hela yake kwanza.