Dogo aliacha chuo ili afanye biashara ya forex! Mtaani kumekuwa kugumu anaomba tumsaidie arudi kuanza chuo tena

Hakuna faida kwenye forex hata kama una mtaji na akili. Hauwezi kuzishinda Banki kubwa , hedge funds na investment firms. Forex inalevya kama betting. Maana mwisho wa siku unalazimisha kumake hela kwenye. Forex wakati we mwenyewe unajua umepoteza hela nyingi huko.
 
Huyo mwacheni hajielewi. Hata mkimrudisha chuo atawaangusha tu. Kama hakujali machungu na magumu ya mamake kumsomesha atajali msaada wenu? Anaachaje chuo afanye biaahara ambayo hana mtaji? Kusoma kashindwa, kilimo hawezi, vibarua hawezi hata kuuza pipi kashindwa sasa anaweza nini huyo? Achana nae
 
hao ndo dawa yao,...kuanza kumchekea tena ni kuwaumiza wengine wasio na hatia, hizo hela peleka kwa madogo wengine huko , maana ni zamu yao,...
 
Ushaonjeshwa Donati, unaweweseka sasa,Lol
Em tulizana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah astaghaffillah astaghaffillah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ donat ndo ile ina kua ina mafuta alafu ina tobo hvi kati...
Astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah astaghaffillah wee una laana sana

Fanya ukatubu
 
Hadi unajua umbo, asalaleeeeee
Dogo kwishaaaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hadi unajua umbo, asalaleeeeee
Dogo kwishaaaaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahahaha Kwisha habari yangu dadek πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™ ilw kiufupi mi sio wa hivo wallah tena
 
Madogo hawa wanahitaji Guidance sana mi mdogo wangu pia ali fall kwenye izo mambo ila Nilimkomalia amalize chuo huku anafanya izo issue za Forex alikomaa both hakupata GPA nzuri ila alimaliza Chuo hakufata ata Cheti akazama Uko for two years alirudi Kuniambia bro maisha magumu sana Nkamuambia fata cheti tuone tunafanyaje

Now yupo kwenye kampuni fulani nilimtafutia mpaka saivi simsikii tena na story za Forex

Forex sio scam ila inataka Muda sana Kujifunza na uwe commited kweli na Mtaji uwepo

Kwasababu hata Hao Brokers wanafanya mpaka Training kwa Kucharge watu ili Kukeep mitaji yao a float ni Noma wakuu
 
Huyu anatakiwa ataje neno FOREX mara 50 alafu asamehewe
 
Ya mwamposa au?
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
 
We don't need to be Judgmental everyone mess up , if there is something you can help him just do it Asap.
 
Ulivyoelezea hapa ni kama unafurahia mapito anayoyapitia huyo jamaa .

Kitu unachobidi kuelewa MAISHA ni lidude Fulani halieleweki other learn in hard way .

So ikiwa unaishi usiseme umemaliza everything gonna happen to you, don't cerebrate other people downfall
 
Asiidhalilishe Forex.... Huyo ni kilasa tu aliyefeli chuo, asiisingizie Forex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…