Utoto kazi.
Wangu alidisco, akasingizia kachelewa kulipa ada wakati tulituma. Hadi tulipofuatilia ndio tukahadithiwa yoote yaliyosababisha abscond.
Akawa home tokea 2022, maisha magumu, hana karibu mabest waliokuwa wote wanaingia kwenye mitihani na vibomu hadi kudisco.
Kapata kakibarua, hata hivyo ni dei waka na tukawa tunasubiri aombe radhi, tujue mipango aliyonayo....haaana time!
Ikabidi kiutu uzima nimwambie arudi shule, hivyo ndio anasubiri aapply tuanze upya kulipa ada, bila hata mkopo.